siyo peke yako mkuu,yaan valencia pimbi kabisaJana valencia kanilaza njaaa
bet ilivyo angeweka angepigwa yan kuna siku unaweka mitimu ming hela kidogo unakula weka timu 2 au 3 hela kubwa unapigwa maninaMkuu ungerushia 50k tungeongea mengine tehtehteh
Safiiii,,mi nasubiri dk 3 tu nipate wooon kwa hao machelsiiiView attachment 921354nGood evening Won[emoji736][emoji736][emoji736]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]My inspirational Deep Pond na Mzee mzima Pidy popote pale mlipo fahamu kwamba yupo mwenzenu Void ab initio anataka kuchukua nafasi yenu.. Amekuja na strategy mpya ya half time over 0.5 or 1goal.Huyu jamaa kawa habari ya jukwaa zima.
Hii option inaitwaje mbona siiomi omertaa?
Matimu mengi hayakawii kuchanaAaagggh.. Odds 58 unastake jero!! Kweli! Ungeweka angalau buku tano.
Safi mkuu.Kibubu iinazidi kujaaa tuView attachment 921367
Umeshazipatia ongeza mzigo sasaKibubu iinazidi kujaaa tuView attachment 921367
Nimeitafuta katika option zake zoooote sijaiona hiyo uliyopost na mm nataka niitembeleeAccumulator outcomes, inapatikana kwenye Special bet za game husika
Japo stake ni ndogo ila inazidi kunonaSafi mkuu.
Yeah nataka nijivute nianze kuweka buku[emoji1] [emoji1]Umeshazipatia ongeza mzigo sasa