Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
SIJALIPWA HATA MIA MKUUUmepewa ngapi?
SIJALIPWA HATA MIA MKUUUmepewa ngapi?
Umefanyaje wewe Boss
Imeniandikia won tu na sio paid outUmefanyaje wewe Boss
Jaribuni kuvuta subira, huenda bado hawajafanya settlement ya hiyo mikeka
Yeah hata mimi ilinikuta game ya AC Milani ila ilikuja kukubali baadaeJaribuni kuvuta subira, huenda bado hawajafanya settlement ya hiyo mikeka
Wadau HV over 2 ina maana gani? Je ina utofauti gani na over 2.5 ?
Over 2 magoli yakiishia mawili unarudishiwa hela(stake) yako, na over 2.5 yakiishia mawili umepotezaWadau HV over 2 ina maana gani? Je ina utofauti gani na over 2.5 ?
Ftmontpellier vs marseille over 2.5
hii naona uhakika aisseh odd 2.11
Daily wana wanapost NO za mlipa mnashindwa kusave wadau mambo gan hayo mnageuka wakorofiiNamba ya m-lipa kwa mwenyenayo
0702 400200Namba ya m-lipa kwa mwenyenayo