Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kitu hicho hapo,weka mpunga
Screenshot_20181105-160720.jpeg
 
Duh!!!
Hzi yellow sijajua zimetokaje. Nlikuwa nimejilipua over 2.5
2018_11_05_16.45.07.jpeg
 
Ety wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
 
Good Evening [emoji550] Won[emoji736][emoji736] Loading....... code L8426
 

Attachments

  • IMG_3139.JPG
    IMG_3139.JPG
    33.3 KB · Views: 42
Ety wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
Ni promotion tu,weka hela uone watakavyo kubumbia kimya,
Mi mwenyewe muhanga
 
Back
Top Bottom