Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Good Evening [emoji550] Won[emoji736][emoji736] Kama Ulifwata Sema Freshiiiiiiii[emoji106][emoji106]
 
Attachments

  • IMG_3140.JPG
    IMG_3140.JPG
    38.3 KB · Views: 40
Nataka mke ka uwe na timu moja. Kwa siku niche mikeka 100. Nategemea odds zenye 2+ ndio nizipe kipaumbele. Dau langu 500.
Nikishinda mikeka 70 kati hiyo Nina faida ya 10000. So haba. Wazoefu mnaniambiaje juu ga hilo wazo langu?.
Umesema mikeka 100 kwa siku? Jajajaajajaja! Kwa nini usiweke mkeka moja wa odd 2+ kwa siku kwa hiyo stake ukapata hiyo faida??
 
Ety wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
Ni kweli lakini kuna idadi ya mechi ambazo wanatoa hiyo offer..kwa mfano huwezi kuweka game 2 ukakosa moja wakarudisha stake..
 
mkuu unavyofanya siyo fair kabisa. huwa unapost ukiwa umeshakula tu wala huweki kabla mechi haijaisha ili nasi tumpige mrusi...

lengo letu hapa siyo kuleta results za mikeka tu, bali na kutoa tips
Hapa hakuna mechi kuisha wala nini hapa tunakula within minutes, wewe kama unasubiri mkeka wa masaa mawili kabla endelea kusubiri. Wakati mwingine unaweka na goli linaingia, hapa ni kumvizia mrusi tu. Pitia wadau humu na wewe ujifunze. Halafu ningekuwa siko fair ningezuia kampuni za kubet ili nibet peke yangu.Tehtehteh

USHAURI; Wadau humu ndani tusipende kulalamika sana. Wewe pitia mikeka inayopostiwa humu uone wadau wanashindaje na wewe ujifunze, acha kulalamika.
 
Mkuu ungefunga tuu hii chapter! Ukipost tip hapa 1 au 2 ndo watashughulikia the rest wanaangalia tu mpaka wasikie woooon (wastage of time & resource)! Kosa usipost beforehand then ukaleta winning ticket [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watao lalamika ni wengi kuliko kuliko ambao wangefuata kama ungepost beforehand!
 
Hapa hakuna mechi kuisha wala nini hapa tunakula within minutes, wewe kama unasubiri mkeka wa masaa mawili kabla endelea kusubiri. Wakati mwingine unaweka na goli linaingia, hapa ni kumvizia mrusi tu. Pitia wadau humu na wewe ujifunze. Halafu ningekuwa siko fair ningezuia kampuni za kubet ili nibet peke yangu.Tehtehteh

USHAURI; Wadau humu ndani tusipende kulalamika sana. Wewe pitia mikeka inayopostiwa humu uone wadau wanashindaje na wewe ujifunze, acha kulalamika.
tatizo le2 wabongo tunapenda kutafuniwa
¤mimi hata nione kuna mtu kapost sifuati huwa natumia ability yangu sio mpaka nimsubir furani apost ndio nibet Never
Dah! nawashukuru wana jukwaa kwa kunifumbua macho ili nihamie 1xbet maana nilipokuwa M-BET, BIKOSPORT, SPORTPESA, MKEKABET ¤
nimeliwa sana!
lakini sasa nipo 1xbet ni mwendo wa $ WON
 
Ok nifundishe jinsi ya kutumia code mm sijui

Unacopy hzo code ambazo zimetumwa kisha unaenda kwny App Ya 1xbet Kuna sehem wameandika Bet Slip Utafungua Utaona Kuna Nshale [emoji651]️ Utabonyeza hapo watakuletea Sehem wameandika Download Bet slip Bonyeza hayo mandish Itatokea Nafas ambayo ipo waz ndo unaweka hzo code kxha una Save
 
Back
Top Bottom