Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
Upepo wa leo mbaya sana, leo jamaa wamenila kama mikeka 20 ikabidi niifute nisiwe naiona maana inanitia machungu
Upepo vipi Leo?, tehtehteh.
Upepo vipi Leo?, tehtehteh.
Usihofu mkuu utairudisha na faida juu, cha msingi usiwe na haraka ya kurudisha kilichopotea.Upepo wa leo mbaya sana, leo jamaa wamenila kama mikeka 20 ikabidi niifute nisiwe naiona maana inanitia machungu
YeeeeeeeeeesAisee, tuna test mitambo.View attachment 922523
Nilicho experince mimi ni kuwa timu moja ikichana unapewa free bet ila hiyo ya kurudishiwa pesa haijawah nitokeaEty wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
Acha mambo ya ajabu!! Hili jambo lilishaeleweshwa mda tuu humu jamvini!! Ila we inaonekana hujaelewaa!! Saiv green zimezid humu coz kuna somo lishapita mda. Huyo unayemsema mbn kupost ana post sema ww hau-mark na ndy shida inapoanzia.mkuu unavyofanya siyo fair kabisa. huwa unapost ukiwa umeshakula tu wala huweki kabla mechi haijaisha ili nasi tumpige mrusi...
lengo letu hapa siyo kuleta results za mikeka tu, bali na kutoa tips
Hehe mkuuHii Ni 1xbet Natumia Kwenye I Phone [emoji336] Sio Android
Mepishana nayo ioWaliofuata WOONView attachment 922605
Dadeki notification zimechelewaWaliofuata WOONView attachment 922615
Mliofwataaaaaa Boooom Boooom...Weka mzigooo chap chapView attachment 922481
Poa mkuuWakuu basketball in play futeni muda huu na Cheza kwa quarter siyo ful time zinatoa kupost hapa naona zinachelewa maana nacheza kwa quarter
Usihofu mkuu utairudisha na faida juu, cha msingi usiwe na haraka ya kurudisha kilichopotea.