Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ety wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
Ona huo mkeka nilimis mechi moja tu lakini, niliambulia patupuView attachment 922320
Screenshot_20181105-171826.jpeg
Screenshot_20181105-171938.jpeg
 
tuelekezwe namna ya kuweka hizo code kwenye 1xbet...ndo tumeanza tu kutia mkeka huko hatujui chochote juu ya 1xbet
 
OK ndo maana manake nimeweka hizo code 8CA26, kwenye 1xbet ya Android zimegoma,
Kwani game gani hiyo Code
Hebu I screenshot kisha itupie tuione

Code Zinaingiliana Nazani Umechelewa Kuweka Napia umekosa Hela Bet Won[emoji736][emoji736] Loading.....
 
Nataka mke ka uwe na timu moja. Kwa siku nicheze mikeka 100. Nategemea odds zenye 2+ ndio nizipe kipaumbele. Dau langu 500.
Nikishinda mikeka 70 kati hiyo Nina faida ya 10000. So haba. Wazoefu mnaniambiaje juu ga hilo wazo langu?.
 
Back
Top Bottom