Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu ungefunga tuu hii chapter! Ukipost tip hapa 1 au 2 ndo watashughulikia the rest wanaangalia tu mpaka wasikie woooon (wastage of time & resource)! Kosa usipost beforehand then ukaleta winning ticket [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watao lalamika ni wengi kuliko kuliko ambao wangefuata kama ungepost beforehand!
For sure mkuu, hamna namna nyingine ila naona baadhi wanakerwa na ile green labda tuanze kupost nyeusi. Tehtehteh
 
Hapa hakuna mechi kuisha wala nini hapa tunakula within minutes, wewe kama unasubiri mkeka wa masaa mawili kabla endelea kusubiri. Wakati mwingine unaweka na goli linaingia, hapa ni kumvizia mrusi tu. Pitia wadau humu na wewe ujifunze. Halafu ningekuwa siko fair ningezuia kampuni za kubet ili nibet peke yangu.Tehtehteh

USHAURI; Wadau humu ndani tusipende kulalamika sana. Wewe pitia mikeka inayopostiwa humu uone wadau wanashindaje na wewe ujifunze, acha kulalamika.
Mkuu, inabidi utufunze namna ya kula sasa..Maana hayo majeshi hatuyajui. Ninaomba unielekeze njia nzuri ya kumla mrusi, options nzuri za kula na tubeti vipi, michezo gani??

Samahani kama nimekukwaza mkuu ila ningependa kupata ushauri wako juu ya betting kama hutojali

natanguliza shukrani
 
Ety wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
unabet timu 5 moja ikipotea unapewa free bet ukizid 6 kuendelea ukishindwa moja unazidisha mara 3 hela uliyoweka wanakupa vigezo odds lazima ziwe 1.35 kuendelea
 
Weka mzigooo chap chap
IMG-20181105-WA0012.jpg
 
tatizo le2 wabongo tunapenda kutafuniwa
¤mimi hata nione kuna mtu kapost sifuati huwa natumia ability yangu sio mpaka nimsubir furani apost ndio nibet Never
Dah! nawashukuru wana jukwaa kwa kunifumbua macho ili nihamie 1xbet maana nilipokuwa M-BET, BIKOSPORT, SPORTPESA, MKEKABET ¤
nimeliwa sana!
lakini sasa nipo 1xbet ni mwendo wa $ WON
Imenisaidia sana na Mimi, yani kwa siku naweza kumpukutisha kanji zaidi ya Mara 15 ila akanila Mara 3 tu
 
Mkuu ungefunga tuu hii chapter! Ukipost tip hapa 1 au 2 ndo watashughulikia the rest wanaangalia tu mpaka wasikie woooon (wastage of time & resource)! Kosa usipost beforehand then ukaleta winning ticket [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watao lalamika ni wengi kuliko kuliko ambao wangefuata kama ungepost beforehand!
nakuhakikishia tu mkuu, mimi siwezi kupuuza tips hata siku moja...nita deal nazo kwaiyo tumeni izo tips banaa
 
Acheni kuomba tips wazee kama mtu atapenda kushare ni sawa ila kama hajapenda siyo kesi. Ombeni kufundishwa kujuwa mbinu mbali mbali za kupunguza risk ya kuloose aaaarggghh.

Knowladge ni kitu cha msingi saana wakuu. Seriousebnawaaambia ukiwa na knowladge ya hiyo mambo mbona utapunguza risk.
 
Back
Top Bottom