NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Halafu mkuu nimeshindwa namna ya kupata app yao make ata nikidownlod haiingii Kama app...badala yake natumia online Yan kama unaingia Google msaada plz...
Heheh nimesita hiyo ya la ligaOya wazee mi nimejilipua na izo anayetaka kufata na afate asiyetaka basi ndo ivyoView attachment 922790View attachment 922792View attachment 922793
Heheh nimesita hiyo ya la liga
Mi simoMpaka sasa dk ya 39 hawajapiga hata kona moja hapa ndipo unapotaman kuingia mwenyewe uwanjan ukatoe ili upate kona, betting ni ya ajabu sana.
Mungu mwema yaani -23 vikapu halafu ndo vimetimia hivo hivo angepunguzwa kimoja ingekuwa loss huu mchezo ni mgumu kiliko hata kubeba gunia yaani jasho huwa linaanza kutoka utafikiri umebeba sijui niniView attachment 922806
Halafu huu mchezo wa kijinga sana ukichambua Sana yaani zile odd ndogo za uhakika eti unaliwa yaani nikiliwa kwa odd ndogo roho huwa inaniuma Sana ndo maana napenda zenye odd kubwa hata nikiliwa huwa sihuxuniki Sana maana najua ingekubari ningemxaba hela ndefu unaweka 60000 halfu upate 7000 akikuzaba inauma sanaAhahaha hatari sana moyo huwa unaenda mbio kama umekabwa na jinamizi, hongera mkuu maana ukitusua unajiona kama umefaulu mtihani wa kidato cha sita, dah kubet ni kazi ngumu kwelkwel maana magonjwa yasio ya kuambukiza kama presha ni kawaida sana ahahaha.
Hahahahhaa mkuu Kama mmMrusi kakimbia na kibubuView attachment 922812
Mkuu ulimpa nn?Rio ave bhana et kachomolewa goli mbili mwishoni..
Huu mchezo ni shida!! Nahc BP zitakua juu sanaMungu mwema yaani -23 vikapu halafu ndo vimetimia hivo hivo angepunguzwa kimoja ingekuwa loss huu mchezo ni mgumu kiliko hata kubeba gunia yaani jasho huwa linaanza kutoka utafikiri umebeba sijui niniView attachment 922806
Mrusi kakimbia na kibubuView attachment 922812
Tehtehteh mkuu, wee acha tu, ila ningemshtukia ningemvizia mwishoni mwishoni. TehtehtehKaona isiwe tabu kakurudishia hela yako kabaki na yake.