Jblmunis333
Member
- Nov 6, 2018
- 65
- 40
[emoji16][emoji16][emoji16]hata mimi nafikiri jamaa kuna mbinu bila shakaKuna namna unazichungulia hiz odds mkuu sijui unausomaje huu mchezo au ndio kujilipua tu.
Mkuu tunaomba utupe mwongozo jinsi ya kuotea odd zote hzo,au hua inategemea na timu? maana nishawah kucheki game 1fh yte ila ikicheza sana ni 1.4
Sawa nafanya marekebishoHapo PSG na Napol weka GG
Duh hii ndo investment aiseeeee
unatumia kampun gan mkubwa
Maltibet ukishabet mechi ya kwanza ukishaplace chini yake utaon maneno cheki neno Add bet ndio utaaadi kila mechi unayotaka then utaweka pesa kama unavyojuaNimejaribu kubet 1xbet . nimeshindwa kupata option ya multbet, inapatikana single tu. Wataalamu nisaidieni
Ha ha ha pole sana kiongozi, kuzuia corner ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mchanga. Atleast uweke overKina sizitaki tena,na sidhani kama ntakuha betia kona,
Jana zimenipukutisha sana kidogo niishiwe, imagine mechi unaipa under 12.5 kona na wakati huohuo wana kona 5 tu second half tena dakika ya 73 hv,
Yani zikaanza kumwagika ka mvua ya elnino.
Mpaka dakika 90'+ wana kona 13 na mkeka kwaheri.
Kwahiyo ni bora nitumie njia nyingine tu katika betting na siyo kona mzee.
Yaweza kuwa tiba etiiiHa ha ha pole sana kiongozi, kuzuia corner ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mchanga. Atleast uweke over
Mimi naweka corner ipatikane kuanzia dakika ya 76 na kuendelea.
Inawezekana kias flani, wikiend iliyopita nilitaka niitest hii option nikaweka timu 25 ikaharibu timu 1 tu, nice peke yake ndo hakutoa.Yaweza kuwa tiba etiii
Ha ha ha walimwengu mna maneno teh teh tehVoid unayoshea huku most tunaluz af unayopotezea unashinda
napoli over 2.5,liver win,shackle double chanceWAKUU NAOMBENI ODDS 1.7 TU NIJILIPUE,MSAADA PLEASE!!.
No hard feelings bro nimesema tu after all sio jukumu lake kushare mikeka yote cause hatumlipiHa ha ha walimwengu mna maneno teh teh teh
Shukrani Mkuunapoli over 2.5,liver win,shackle double chance
Asante sana kwa wazo mwanana ntalifanyia kaziInawezekana kias flani, wikiend iliyopita nilitaka niitest hii option nikaweka timu 25 ikaharibu timu 1 tu, nice peke yake ndo hakutoa.