ucigope.....odds kdg hizoShukrani Mkuu
Tehtehteh, mkuu ukitazama hizo timu ninazo share ndio zilezile ninazo shindia, sasa mtu unatakiwa kujiongeza kama timu nimeileta kipindi cha kwanza haijatoa unaifuata kipindi cha pili, au unataka mpaka nije nikuambie. Jiongeze mkuu.Void unayoshea huku most tunaluz af unayopotezea unashinda
Aisee eeeee !!!!View attachment 923878
Mpe PSG.Utabiri wenu NAPOLI vs PSG..... tumpe nani?