Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahah we upo kama mm. Na kadi pia unakuta dk 76 kadi hakuna hlf unaeka under 3.5, dk 90 kadi zishatoka 3 hlf ule mda mchafu wanaoongeza ndy huwa naliwa mana wanaongeza mda mwing hadi zinazd au kona pia zinazid. Au naeka over zinagoma
 
Daaaah asante sana monco na liverpool kwa kuninyoosha,kesho nayo siku maana mtaji wote mrusi kasepa nao
 
Pole sana mkuu, ndo betting yenyewe lakini ujimla unafrahi nae akikula anachekelea
uefa kama kombe la dunia tu yan timu za watoto uefa nimepiga lak na nusu nimepigwa lak liver huyo had sasa tot nae ndo huyu anasepa na laki jana metz kaenda na na 80k mm ntakuwa nasubir zangu jmosi na jpili tu kama mwendo huu timu hazielewek
 
Yaani goli wanazokosana hawa barca na inter... Mamamaaaaae... Halafu hata goli moja linakosekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…