Quarter ya Kwanza kanizingua 90k hivo Nina mawenge naeClippers wana nafasi kubwa ya kushinda quarter ya3 anayeweza kujitoa muhanga. Mie wamenibania warusi ku deposit leo sijacheza game hata moja na kulikua na pesa game ya kwanza thunders kashinda quarters zote hapo nlilikua milo tu
Fumba machoTunajaribu tu mkuu ni bet ngoja niruke nayo mkuu.
Quarter ya Kwanza kanizingua 90k hivo Nina mawenge nae
Fumba machoView attachment 927134
Pamoja Kwanza nipeJaribu quarter ya 3 mkuu najuavatatoa
Fumba machoView attachment 927134
Wenzangu, niweke bet timu gani leo?? Nataka pesa ya kulewa weekendi itoke kwa bet. PositiveVibes
Nilichelewa nkakuta hiyo option haippWaliofuata WOONView attachment 927119
Tunajaribu tu mkuu ni bet ngoja niruke nayo mkuu.
Mkuu nauhakika imekulipa na kama ulinifuata game ya milwauke lazima ikulipe tena ila naona moja kama tunaenda kupoteza japo bado tunakazi ya clippers
Kweli kaka. Hapa naona pwagu kapata pwaguzi. PositiveVibes
Hivi hii GSW ni ile ninayo ifahamu mimi au maan quater zote kapigwa sijui ataamka quater ya 3Mkuu nauhakika imekulipa na kama ulinifuata game ya milwauke lazima ikulipe tena ila naona moja kama tunaenda kupoteza japo bado tunakazi ya clippers
Mkuu nauhakika imekulipa na kama ulinifuata game ya milwauke lazima ikulipe tena ila naona moja kama tunaenda kupoteza japo bado tunakazi ya clippers
Yah ile ya kwanza ilitoa mkuu ila hii ya milwaukee niliweka woga mbele nilijua asingetoboa tena quarter ya pili mbele ya golden ndio naangalia hapa macho yamenitoka tu mkuu naona golden chali na hii ya pili mkuu