Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jifunze kudonoadonoa mkuu me sio exepert kwenye mchezo wowote ila nagusagusa walau kila kona nipate mwangaza hata unapotandikwa mkeka hapa nisitoe macho, mkuu nipo mpaka kwenye tennis na ice hockey kote napendelea kujifunza japo napigwa vizur tu lakin sijal najua ipo siku yangu tu.
Aisee, asante sana mkuu, mi najua Mpira tu, nazijua options zote
Lakini kwenye kikapu holaaa
 
Mwanamme kuna point nne za Bucks quarter ya mwisho tumwamini tu kuwa anashinda zote sasa...lawama hamna lakini
 
Direct win naiogopa sana mie nachezaga quarters tu labda kwa direct miaka yote nitakua namchinja Phoenix tu basi nyinginezo nitacheza quarters
Mkuu huyu leo tuliompa direct win ameshakimbia na visenti vyetu hana dalili nzur kwa muendelezo huu.
 
Jifunze kudonoadonoa mkuu me sio exepert kwenye mchezo wowote ila nagusagusa walau kila kona nipate mwangaza hata unapotandikwa mkeka hapa nisitoe macho, mkuu nipo mpaka kwenye tennis na ice hockey kote napendelea kujifunza japo napigwa vizur tu lakin sijal najua ipo siku yangu tu.
Umesema points sana,mfano mi Jana usiku nilikuwa nabetia animation football yan wanafungana balaa, dakka zao 90 ni kama dakika 15 halisia, niliwapiga hela na wao wakanipiga hivyo hivyo mkuu
 
Leo nimeamka saa 9 kila mtu kalala nikadonoa donoaa ila niliweka 300 na zote nimepataa saa nyingine kujiongeza tu ila namshukur dionize alinifundisha akanipa mwanga
 
Kwakwel ni hatr kwa afya bas na mm nitakuwa pamoja nawe tukimbizane kwenye quarters hzo

Back
Top Bottom