Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Clippers wana nafasi kubwa ya kushinda quarter ya3 anayeweza kujitoa muhanga. Mie wamenibania warusi ku deposit leo sijacheza game hata moja na kulikua na pesa game ya kwanza thunders kashinda quarters zote hapo nlilikua milo tu
 
Quarter ya Kwanza kanizingua 90k hivo Nina mawenge nae
 
Yah ile ya kwanza ilitoa mkuu ila hii ya milwaukee niliweka woga mbele nilijua asingetoboa tena quarter ya pili mbele ya golden ndio naangalia hapa macho yamenitoka tu mkuu naona golden chali na hii ya pili mkuu
Mkuu nauhakika imekulipa na kama ulinifuata game ya milwauke lazima ikulipe tena ila naona moja kama tunaenda kupoteza japo bado tunakazi ya clippers
 
Hivi hii GSW ni ile ninayo ifahamu mimi au maan quater zote kapigwa sijui ataamka quater ya 3
 
Acha woga mkuu ungetia zako 50 kesho ingekua bia tu
Yah ile ya kwanza ilitoa mkuu ila hii ya milwaukee niliweka woga mbele nilijua asingetoboa tena quarter ya pili mbele ya golden ndio naangalia hapa macho yamenitoka tu mkuu naona golden chali na hii ya pili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…