Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ya jana pia hayakunifurahisha,nilichotendewa najua mwenyewe[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Clippers nayo tumekula, kwa hyo kama umenifuata game tatu zote zimelipa naomba unitupie hata 10 mpesa teh teh, ila watu waoga tutakua hatuambizani sasa
 
Mkuu nashukuru ila twende tu hivhiv kamtaj kangu ni kadogo sana naweka stake ndogondogo sana, mkuu yajayo yatakuwa mazur zaid bado najikusanya mkuu.
Clippers nayo tumekula, kwa hyo kama umenifuata game tatu zote zimelipa naomba unitupie hata 10 mpesa teh teh, ila watu waoga tutakua hatuambizani sasa
 
Dondoo kidogo jaman.

Ukimpa Phoenix direct win jiandae kufa na pressure utaliwa kila game na ukila inabidi ukatambike.

Amecheza hii game ya 12 kama sikosei kashinda mbili kafungwa 10.

Unajua kwa nn?

Team yake bado ya vijana, hana wachezaji wazoefu, ni angalau angekua nao hata watatu au wawili... Itamchukua muda sana kushinda huyu jamaa lazima asuke kikosi, ni kama ya golden state miaka ya nyuma.

So ushauri usije ukapoteza pesa
 
Mkuu wote tungekuwa na moyo kama wako humu ndan wote mifuko yetu ingekuwa imjaa na watu na wakuu wangemiminisha mikeka ya maana every damn day maana sio kwa wese hilo ulilomtandika nali mkuu dionize, be blessed mkuu one day na ww tutakujaza wese mkuu.
Una 50k toka kwangu fanya kutuma account number
Mungu mkubwa
 
Tunashukuru mkuu kwa dondoo na nn kimeukumba cavs mbona nae anakula vichapo sana sizan kama nae anasuka kikosi.
 
Hahahahaaa asante boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…