Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukiacha kuendelea kupost mikeka yako hapa mkuu lengo lao litakuwa limefanikiwa, kuna watu hawapend kuona wengine wanatuma humu mikeka yaan wanachukia kwelkwel, tuna safar ndefu kwelkwel watz.
Tatizo watu wengine wanaona wanaoleta possible huku ni wapiga ramli yani akiweka ni kula tu sasa akipoteza anaishia kumlaumu aliepost, thats crazy kwa kweli
 
In play
Screenshot_20181109-105954.jpeg
 
Mkuu hiyo advance bet we unaipataje hadi unaitumia? Maana hiyo option ya kuitumia siionagi aiseee
Lazima kuwe na mkeka wako uliobet then uwe na uhakika was huo mkeka kushinda watakuletea kwenye main account yako kwa chini kiasi unachoweza kubetia mkeka mwingine
 
Ndio maana Void anaishia kutandika tiketi za won tu hapa, kwa mambo kama haya mkeka ukifel kwenda kuporomosheana mitus pm nani apost sasa c bora kukaa kimya tu.
Tatizo watu wengine wanaona wanaoleta possible huku ni wapiga ramli yani akiweka ni kula tu sasa akipoteza anaishia kumlaumu aliepost, thats crazy kwa kweli
 
Kuna wadau tena tunatukaniana mama zetu angalau hata ilieniita mseng.... Maana kwanza sio kweli kama mm mseng....
Nan tena huyo anakuletea maneno ya ajabu...? kwan wao hawajui hii n kama kamar kuna kupata na kukosa
 
Mkuu usiwasikilize hao wapuuzi mbona kipindi wanakula walikuwa hawaji pm kusema ahsante hii ni kamali toa nondo hapa hapa atakayependa kufuata afuate huku akiwa na tahadhari kubwa maana hii ni kamari kula na kuliwa kitu cha kawaida tu halafu watu wenyewe tunaowabetia wanacheza kwa mikono muda wowote wanaweza kubadilika na kufumuana usivunjwe moyo na hao wachache
Wakula kota 3 wameliwa moja wanalalamika kweli wangeliwa zote ingekuwaje?
Halafu mkuu hukuwalazimisha kuweka yalikuwa ni maamzi yao kuchukua ushauri wako au kuutema
Ndio hapo sasa wakila kimya
 
Kuna wadau tena tunatukaniana mama zetu angalau hata ilieniita mseng.... Maana kwanza sio kweli kama mm mseng....
duuh xax hapo walikofikia n too much...
Hiv haya watu n kwamb hawana akili au n nin...? Yan kila day jambo hil linatokeo n kusumbua 2
#Sorry lkn
 
Back
Top Bottom