Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nyie watu nuksi sana, mkila hamlalamiki mkiliwa ndio mnakuja nimind inbox... Jamani namimi nafanya kuotea tu na sirudii kuwashirikisha tena maana sio kwa hiyo mitusi yenu.

Ila jamani niliwaambia hawezi poteza quarter zote nne na imetokea so ungejiongeza pia. Hata hivyo kama ulifuata zote faida bado unayo tena ya kutosha.

Mlionilalamikia wote samahani na mshikaji ambae umakua mstaarabu kwa kutambua hii ni kamali kuna kula na kuliwa poa sana.

Basi nitawapa possible moja la kurudisha hasara yenu na ndo mwisho wa kuwashirikisha.

TUWE NA SIKU NJEMA

Regards
Dionize N
 
Nan tena huyo anakuletea maneno ya ajabu...? kwan wao hawajui hii n kama kamar kuna kupata na kukosa
 
Nyie watu nuksi sana, mkila hamlalamiki mkiliwa ndio mnakuja nimind inbox... Jamani namimi nafanya kuotea tu na sirudii kuwashirikisha tena maana sio kwa hiyo mitusi yenu.

Ila jamani niliwaambia hawezi poteza quarter zote nne na imetokea so ungejiongeza pia. Hata hivyo kama ulifuata zote faida bado unayo tena ya kutosha.

Mlionilalamikia wote samahani na mshikaji ambae umakua mstaarabu kwa kutambua hii ni kamali kuna kula na kuliwa poa sana.

Basi nitawapa possible moja la kurudisha hasara yenu na ndo mwisho wa kuwashirikisha.

TUWE NA SIKU NJEMA

Regards
Dionize N
Ndo mana ikaitwa kamar kuna kupata na kukosa
 
Ukiacha kuendelea kupost mikeka yako hapa mkuu lengo lao litakuwa limefanikiwa, kuna watu hawapend kuona wengine wanatuma humu mikeka yaan wanachukia kwelkwel, tuna safar ndefu kwelkwel watz.

Sijawahi kuona kampuni ya kipuuzi kma Mlipa yaani wana utoto kweye pesa za watu, inawezekanaje simu ya custormer care ina zimwa? kwnn wasipokee watuelekeze nn kina endelea wanafanya biashara ya pesa za watu alf wanachukila simple tu nme chukia sana hela yangu ndefu nmeahindwa ku bet tangu juzi ningekua nisha ingiza laki faida
Kuna haja ya kuwapigia direct hao wazungu wa 1xbet ili wajue tatizo mm nshawapigi ikiwezekana wavunje mashirikiano na m lipa
 
Ukiacha kuendelea kupost mikeka yako hapa mkuu lengo lao litakuwa limefanikiwa, kuna watu hawapend kuona wengine wanatuma humu mikeka yaan wanachukia kwelkwel, tuna safar ndefu kwelkwel watz.
Watu wanafikiriaga faida tu,hawajui kuna hasara,
We ukiingia katika biashara ya kubeti,huwezi toka salama daily, hata wakali WA kubeti kama akina void na wengineo huwa wana lose sembuse huyu jamaa yetu
 
Nyie watu nuksi sana, mkila hamlalamiki mkiliwa ndio mnakuja nimind inbox... Jamani namimi nafanya kuotea tu na sirudii kuwashirikisha tena maana sio kwa hiyo mitusi yenu.

Ila jamani niliwaambia hawezi poteza quarter zote nne na imetokea so ungejiongeza pia. Hata hivyo kama ulifuata zote faida bado unayo tena ya kutosha.

Mlionilalamikia wote samahani na mshikaji ambae umakua mstaarabu kwa kutambua hii ni kamali kuna kula na kuliwa poa sana.

Basi nitawapa possible moja la kurudisha hasara yenu na ndo mwisho wa kuwashirikisha.

TUWE NA SIKU NJEMA

Regards
Dionize N
Nakushaur ndugu yan hao achana nao wala usiongee nao wala kuwa jibu sms we endelea na moyo wako ule ule leta mzigo sis tunaotaka tuna weka ....That only
 
Mkuu usiwasikilize hao wapuuzi mbona kipindi wanakula walikuwa hawaji pm kusema ahsante hii ni kamali toa nondo hapa hapa atakayependa kufuata afuate huku akiwa na tahadhari kubwa maana hii ni kamari kula na kuliwa kitu cha kawaida tu halafu watu wenyewe tunaowabetia wanacheza kwa mikono muda wowote wanaweza kubadilika na kufumuana usivunjwe moyo na hao wachache
Wakula kota 3 wameliwa moja wanalalamika kweli wangeliwa zote ingekuwaje?
Halafu mkuu hukuwalazimisha kuweka yalikuwa ni maamzi yao kuchukua ushauri wako au kuutema
Nyie watu nuksi sana, mkila hamlalamiki mkiliwa ndio mnakuja nimind inbox... Jamani namimi nafanya kuotea tu na sirudii kuwashirikisha tena maana sio kwa hiyo mitusi yenu.

Ila jamani niliwaambia hawezi poteza quarter zote nne na imetokea so ungejiongeza pia. Hata hivyo kama ulifuata zote faida bado unayo tena ya kutosha.

Mlionilalamikia wote samahani na mshikaji ambae umakua mstaarabu kwa kutambua hii ni kamali kuna kula na kuliwa poa sana.

Basi nitawapa possible moja la kurudisha hasara yenu na ndo mwisho wa kuwashirikisha.

TUWE NA SIKU NJEMA

Regards
Dionize N
 
Waliofuata WOON
Screenshot_20181109-105641.jpeg
 
Back
Top Bottom