Tatizo watu wengine wanaona wanaoleta possible huku ni wapiga ramli yani akiweka ni kula tu sasa akipoteza anaishia kumlaumu aliepost, thats crazy kwa kweliUkiacha kuendelea kupost mikeka yako hapa mkuu lengo lao litakuwa limefanikiwa, kuna watu hawapend kuona wengine wanatuma humu mikeka yaan wanachukia kwelkwel, tuna safar ndefu kwelkwel watz.
Mkuu hiyo advance bet we unaipataje hadi unaitumia? Maana hiyo option ya kuitumia siionagi aiseeeWaliofuata WOONView attachment 927326
Tupia kitu kingine mkuu twende sawaWaliofuata WOONView attachment 927326
Samahani mkuu, hii handcap ya aina hii maana yake ni nini mkuu naomba somoWaliofuata WOONView attachment 927326
Lazima kuwe na mkeka wako uliobet then uwe na uhakika was huo mkeka kushinda watakuletea kwenye main account yako kwa chini kiasi unachoweza kubetia mkeka mwingineMkuu hiyo advance bet we unaipataje hadi unaitumia? Maana hiyo option ya kuitumia siionagi aiseee
Tatizo watu wengine wanaona wanaoleta possible huku ni wapiga ramli yani akiweka ni kula tu sasa akipoteza anaishia kumlaumu aliepost, thats crazy kwa kweli
Huwa una bet football?Samahani mkuu, hii handcap ya aina hii maana yake ni nini mkuu naomba somo
Rudi nyuma kidogo nadhani ni jana kuna mkuu isaack nadhani alielezea vizuri sana hii kituSamahani mkuu, handcap hii inamaanisha nini mkuuu?
Rudi nyuma kidogo nadhani ni jana kuna mkuu isaack nadhani alielezea vizuri sana hii kituSamahani mkuu, handcap hii inamaanisha nini mkuuu?
Yani meridian wanachagua timu za kuweka dahWaliofuata WOONView attachment 927326
Nan tena huyo anakuletea maneno ya ajabu...? kwan wao hawajui hii n kama kamar kuna kupata na kukosa
Pamoja mkuuLazima kuwe na mkeka wako uliobet then uwe na uhakika was huo mkeka kushinda watakuletea kwenye main account yako kwa chini kiasi unachoweza kubetia mkeka mwingine
Wachache wanaoelewaNdo mana ikaitwa kamar kuna kupata na kukosa
Asante mkuuWaliofuata WOONView attachment 927326
Ndio hapo sasa wakila kimyaMkuu usiwasikilize hao wapuuzi mbona kipindi wanakula walikuwa hawaji pm kusema ahsante hii ni kamali toa nondo hapa hapa atakayependa kufuata afuate huku akiwa na tahadhari kubwa maana hii ni kamari kula na kuliwa kitu cha kawaida tu halafu watu wenyewe tunaowabetia wanacheza kwa mikono muda wowote wanaweza kubadilika na kufumuana usivunjwe moyo na hao wachache
Wakula kota 3 wameliwa moja wanalalamika kweli wangeliwa zote ingekuwaje?
Halafu mkuu hukuwalazimisha kuweka yalikuwa ni maamzi yao kuchukua ushauri wako au kuutema
Pitia hata google mkuu kila kitu mbona kipoSamahani mkuu, handcap hii inamaanisha nini mkuuu?
duuh xax hapo walikofikia n too much...Kuna wadau tena tunatukaniana mama zetu angalau hata ilieniita mseng.... Maana kwanza sio kweli kama mm mseng....