bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,880
- 24,933
Me wamenirejeshea yangu nme komaa sanaWakuu hawa M LIPA inakuwaje nlituma hela yangu 1xBet toka juzi mpaka leo haijaingia na mpesa walishathibitisha
Me wamenirejeshea yangu nme komaa sanaWakuu hawa M LIPA inakuwaje nlituma hela yangu 1xBet toka juzi mpaka leo haijaingia na mpesa walishathibitisha
Kweli kabisa mkuu wimicky tunaomba uwe unausave then unatuwekea code tutembee nao coz hvy binafsi nisiseme uongo sijawai elewa nikifata kule kwenye handicap nakuta kumesha baridika bhas nachanganyikiwa naacha kabisaUngeweka code za mikeka ingependeza hapo kwenye saveView attachment 927596
Ungeweka code za mikeka ingependeza hapo kwenye saveView attachment 927596
Pale inakuwa ishapitaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unatakiwa uwe shapu kama mm leo nimekutaa tayar ishabadilikaa hata ukipewa code inakuwa bureKweli kabisa mkuu wimicky tunaomba uwe unausave then unatuwekea code tutembee nao coz hvy binafsi nisiseme uongo sijawai elewa nikifata kule kwenye handicap nakuta kumesha baridika bhas nachanganyikiwa naacha kabisa
Wengine tumezoa mbet huku 1xbet wageni..Mmeanzaa lawama watu watatukimbiaa sio mpka kutafuniwa bwana
Wengine tumezoa mbet huku 1xbet wageni..
Kweli hapo inabid kuwa sharpMkuu mwenyewe hivyo hivyo haoa nimeliwa sina hata hela ya kucheza mi naweka full.match kumbe wmicky kaweka qt2 we nenda tu na flow ka sivyo sio wote utajibiwaa
ngoja nirushe leo nione ikienda mazima nazima cm kisha nakufMbona mi natumia mpesa kufanya deposit 1xbet na zinakubali tu bila shida
wakuu mimi tangu juzi nimedeposit 1xbet kupitia m-pesa lakini mpaka leo siioni hela yangu kwenye akaunti yangu ya 1xbet na message ya m-pesa imethibitisha tayari na hela wamekata tatizo litakuwa ni nn? au bado matengenezo hayajakaa vyema
au putin kasepa....nazo..?
Hahaaaa usife mkuu tutakuzikangoja nirushe leo nione ikienda mazima nazima cm kisha nakuf
Odds zmevuka 2
Mi nimezikuta 3+ ni shidaaaaOdds zmevuka 2
Ni mbili na uchafuMi nimezikuta 3+ ni shidaaaa
Hatari mzee wananihonga niiuzeMi nimezikuta 3+ ni shidaaaa