kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Hata mimi naona wanazitaka hahaaaHatari mzee wananihonga niiuze
Hata mimi naona wanazitaka hahaaaHatari mzee wananihonga niiuze
Kiasi gani?Wakuu hawa M LIPA inakuwaje nlituma hela yangu 1xBet toka juzi mpaka leo haijaingia na mpesa walishathibitisha
Jamaa yuko vzrAisee Wimick Shukran sana aisee leo nimeokota okota leo natembea na ww mungu akubariki sana ndg endelea kushea nasi
But kuliwa is at our own risk sio tena kuporomosheana mitus[emoji23][emoji23][emoji23]Go for Bayi rocket both 3rd and 4th quarter but at your own risk
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo anayeporomosha mitusi hajui maana ya betting, kama anajiamini asingesubiri kufuata desa la mtu angejikunja mwenyewe ili akiliwa ajiporomoshee mitusi mwenyeweBut kuliwa is at our own risk sio tena kuporomosheana mitus[emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana mkuuuIn play. Ila hao ni wachina mkiona wanarudi uzeni fungeni mahesabu hawaelewekiView attachment 927651
Nikushauri kitu usitegmee tu kutumiwa jitahid na ww ubashiri kivyako hata jwa 300 ndo utazid kuujuaa mchezo ukitegemeaa aiseee itakucost....Cd
Thanks mkuu Tunaomba nyingine
Mwanangu wee tupia nyingine broo ndugu yako nishaliwa laki apa ata niirudishe tu iyo basi mkuu tafadhali cm zinakaa mkononi masaa yote kwa ajili ya notification yako broo fanya kweli ndugu yanguIn play. Ila hao ni wachina mkiona wanarudi uzeni fungeni mahesabu hawaelewekiView attachment 927651
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezea kupigwa laki lazima utafute mbinu ya kumliga mrusiMwanangu wee tupia nyingine broo ndugu yako nishaliwa laki apa ata niirudishe tu iyo basi mkuu tafadhali cm zinakaa mkononi masaa yote kwa ajili ya notification yako broo fanya kweli ndugu yangu
Mwanangu wee acha kuna gemu kama tatu nilijilipua naye kanilipua mazima zikaondoka na n100k[emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezea kupigwa laki lazima utafute mbinu ya kumliga mrusi
Mwanangu wee tupia nyingine broo ndugu yako nishaliwa laki apa ata niirudishe tu iyo basi mkuu tafadhali cm zinakaa mkononi masaa yote kwa ajili ya notification yako broo fanya kweli ndugu yangu
Sawa mkuu nami nabet zangu ila tunga Juz upepo sio mzur nishaliwa kama laki 20 mpaka nachoka
Uko kama mimi aisee, najikuta naweka stake ndogo ila ndo inayoleta winAisee zangu za kujaribu huwa naweka 300 tu na karibu zote nakula....
Aaaah mkuu sawa kwa wamicky kuna loss lakini nadhani si kama zetu bob mimi gemu nikisema ili sasa ndo litanitoa basi nikitia mpunga mrefu lazima uondoke na na mrusi yani mi nakula stake ndogo ila stake kubwa naliwa mimi ata sijui kwaniniUkienda pupa na hiyo nyingine italiwa yote relax panga mikakati ya kurudisha pesa yako mdogomdogo maana hata kwa wimick kuna lost pia.
Daa pole sana laki 20 ni parefu sanaSawa mkuu nami nabet zangu ila tunga Juz upepo sio mzur nishaliwa kama laki 20 mpaka nachoka
Mwanangu wee tupia code mzee wa kazi angalau nirudishe laki yangu tu asee ndugu[emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezea kupigwa laki lazima utafute mbinu ya kumliga mrusi
Daa pole sana laki 20 ni parefu sana
Watu tumepigwa mpaka tumevurugwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji42][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]