Daaah yani hapa nimebana pumziKama ni quarter ya mwisho ni kawaida kwenda izo daki50
Umezuia vikapu ama???Daaah yani hapa nimebana pumzi
Hapana nimempa mtu direct winUmezuia vikapu ama???
Hii hapa mkuuUmezuia vikapu ama???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] ******** umu ndani tutakufa asee duuh mwisho wa siku tutapata presha mazeeUmezuia vikapu ama???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] daaah yani ni shida hizi basket khaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] ******** umu ndani tutakufa asee duuh mwisho wa siku tutapata presha mazee
Mbona stake kidogo chief, inplay huwa ina hela ukitulia... hope utakula io 2kHii hapa mkuuView attachment 927715
Ujue sie bado wanafunzi kwahiyo hayo mambo ya kupigwa laki 20 hatujayazoea mkuu ndo maana tunatia hela ya daladala[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona stake kidogo chief, inplay huwa ina hela ukitulia... hope utakula io 2k
Kuna muda mtu unaliwa mpaka na amaumivu ya kuliwa yanatoweka badala yake unakuwa sugu wa kuliwa na kuwacheka wananzengo wanavyohara umu ndani daaahHii hapa mkuuView attachment 927715
kiukweli mzee baba umenichekesha sana jinsi unavyo ahaaa broo mi kuliwa ni shazoea ila now cm inakaa mkono muda wote nikisubiria ndoano za WamickyUjue sie bado wanafunzi kwahiyo hayo mambo ya kupigwa laki 20 hatujayazoea mkuu ndo maana tunatia hela ya daladala[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifurahisha asee.. tukiliwa wengi machungu yanapungua..Kuna muda mtu unaliwa mpaka na amaumivu ya kuliwa yanatoweka badala yake unakuwa sugu wa kuliwa na kuwacheka wananzengo wanavyohara umu ndani daaah
12x4=48Mbona quarter hii ya 4 naona dk mpaka inaenda ya 48 sasa
Kweli mkuuuNilichogundua kikapu kina presha kuliko hata futball maana unaweza ukaona tofauti hata vikapu 20 vikawa vinaporomoshwa kama bomba limefunguliwa maji[emoji28][emoji28][emoji28]
hahahahahahahhhahaha😂😂😂Uuuh!! Hatimae,,utafikiri unamsubiri dokta na majibu ya damu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 927719
Mwana weee acha tu mzee wa kazi asee yani muda si mrefu wengi tunaweza kuugua mapresha umu ndani yani unaona kuna tofauti ya vikapu 20 let say bt ndani ya dkk 3 watu wanakuwa washasawazisha aseee mzee apo moyo unakuwa unakundunda si kawaida kiukweli kwwny basktball bado mchango wa Wamicky unahitajika sana sana sana ndugu Wamicky popote ulipo mMungu akutie moyo wa wepesi wa kutusaidia sie nduguzo broo maana hali si haliNilichogundua kikapu kina presha kuliko hata futball maana unaweza ukaona tofauti hata vikapu 20 vikawa vinaporomoshwa kama bomba limefunguliwa maji[emoji28][emoji28][emoji28]