Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,050
- 2,964
Ile inakuwa kama hujafuta mikeka ila ukifuta unaanza moja hesabuIle k2 inayooneshwaga pale juu kabisa huwa ni nn ile
Ile inakuwa kama hujafuta mikeka ila ukifuta unaanza moja hesabuIle k2 inayooneshwaga pale juu kabisa huwa ni nn ile
OK so ile iNAKUWA inamaanisha nn mkuuIle inakuwa kama hujafuta mikeka ila ukifuta unaanza moja hesabu
Wamenila laki3 mm Nina mkosiNn nnechungulia wajapan asubhui nmeona awafungan wal kufunga nkatoka ndukiiii
Et siku ambayo awafungani ndio mm nimeweka pesa ndefu daahMm nmechungulia tuu asubhui nikaona jamaa awafungan wal nn nkatoka ndukii
Aisee mimi hapa nimekula za uso hatariiii, nimeanza basket nimepigwa nkageukia soka nimeambulia kichapo daah ila sikomiEt siku ambayo awafungani ndio mm nimeweka pesa ndefu daah
Daah mwanangu minataka rudisha pesa yangu yani c bora ningemtumia mzaz iyo ela daah tatzo naliwa kijinga yani wamekosa magoli wamenila daaAisee mimi hapa nimekula za uso hatariiii, nimeanza basket nimepigwa nkageukia soka nimeambulia kichapo daah ila sikomi
Acha uhuni wewe mbona hukurusha before?[emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383] View attachment 928496
In play mkuu nacheza kila odd zikibadilika na mimi nakimbia nazo nitaleta mingapi huku....njoo home tucheze[emoji123] [emoji123]Acha uhuni wewe mbona hukurusha before?
Hahaaa????In play mkuu nacheza kila odd zikibadilika na mimi nakimbia nazo nitaleta mingapi huku....njoo home tucheze[emoji123] [emoji123]
[emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Hahaaa????
Na mimi limenikuta hili kumbe tulikua tunashikilia pumzi kimya kimya[emoji23][emoji23]Apa niliona mzee WIMICKY kacheza win 2corter mimi na haraka zangu nikajikuta nimeweka game nzima 2 win na hatimae akijaaribika kitu...shukran mzeeView attachment 928501
Dakika ya 80'[emoji850][emoji850][emoji850]
We acha tu ii kaz inaitaji moyo sanaNa mimi limenikuta hili kumbe tulikua tunashikilia pumzi kimya kimya[emoji23][emoji23]
Tehtehteh, ukilipuka unalipuka vizuri.Dakika ya 80'[emoji850][emoji850][emoji850]
Hii ngumu kumezaTehtehteh, ukilipuka unalipuka vizuri.
Nimejilipua ivo ivo mkuuTehtehteh, ukilipuka unalipuka vizuri.