Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee mimi hapa nimekula za uso hatariiii, nimeanza basket nimepigwa nkageukia soka nimeambulia kichapo daah ila sikomi
Daah mwanangu minataka rudisha pesa yangu yani c bora ningemtumia mzaz iyo ela daah tatzo naliwa kijinga yani wamekosa magoli wamenila daa
 
Apa niliona mzee WIMICKY kacheza win 2corter mimi na haraka zangu nikajikuta nimeweka game nzima 2 win na hatimae akijaaribika kitu...shukran mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…