Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

basketball inalipa aisee hata ishu ya kupoteza mkeka inakuwa ndogo sana wadau, tujaribu na huku hasa NBA league ukitaka urahisi wewe cheza over tu katika matokeo ya jumla subiria wakimaliza tu quarter ya pili unafanya tathmini kisha unatupia mzigo mara nyingi mambo yanakaa sawa halafu kingine katika basketball usipende kucheza under utalia
 
Aisee ni kweli nilishalizwa mara kibao kwa kuweka under
 
OK so ile iNAKUWA inamaanisha nn mkuu
Jumla ya kiasi ulichotumia kubet na jumla ya kiasi ulichowin. Futa yote bet history halafu ukianza kuplace bet utaona pale hesabu zinavyokuwa hivyo ni rahisi kujua kwa siku au kwa wiki umepoteza kiasi gani au umeshinda kiasi gani. Umenisoma we kitumbua?
 
Heshima yako
 
Sasa Mimi under ndo nakula over inaniangaisha sana
 
Yan Watanzania Bhana!! Kwahyo saiv Football ham-bet tena; ni Basketball tu saiv!!! Watu walianza na Void weeee; saiv wamemuacha, wamehamia kwa wmcky!! Ngoja nijifunze kubet Rugby,snooker,handball,water polo,futsal,volleyball hlf nivamie humu!!
 
Mkuu npe mwanga maan hzo over sijazpata frxh maan naona tu Mara over 45,over 51 etc inakuaje hapo mkuu?
 
*TAKE THE RISK OR LOSE THE CHANCE*


[emoji1621][emoji460]Crystal Palace - Tottenham Hotspur
Double Chance: Tottenham Hotspur Or X
1.25

[emoji1621][emoji460]Fortuna Dusseldorf - Hertha BSC
Double Chance: Hertha BSC Or X
1.38

[emoji1621][emoji460]Southampton - Watford
Total 2: Individual Total Watford Corners Over (3.5)
1.35

[emoji1621][emoji460]Atletico Madrid - Athletic Bilbao
Team 1, Result + Total: Team Atletico Madrid Not To Lose And Total < (4.5) - Yes
1.21

[emoji1621][emoji460]R. Charleroi - Club Brugge
Double Chance: Club Brugge Or X
1.32

[emoji1621][emoji460]En Avant de Guingamp - Lyon
Double Chance: Lyon Or X
1.22


*Overall odds : 4.5++*


[emoji432] *626P6*


[emoji91][emoji91] *IMMA FABO* [emoji767] [emoji91][emoji91]
 
Wachaaa nitake risky......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…