WoonIn play
Jets v Sydney
Total over 1.5
Odds 2+
Risky!!!
WoonIn play
Jets v Sydney
Total over 1.5
Odds 2+
Risky!!!
Aliyefwata......Go cash out...... WOOOOOOON!In play
Jets v Sydney
Total over 1.5
Odds 2+
Risky!!!
WOOOOON MKAWITHDRAWPesa hiyoView attachment 928635
WOOOOON MKAWITHDRAW
Timu 13 ushinde zote si mchezo ila hapo kwenye Getafe v Valencia weka * or 2 na South v watf ni 1 or 2 Kila la kheri mkuuWazee wa Jackpot ya sportpesa..unaweza bahatika..me nimeicheza kwa double chance ya accumulator
View attachment 928702
Weka mzigoKipya hicho
Hongera mkuu, Nashukuru kwa ushauri. Ngoja na mimi nichukue kozi.Siku zote huwa sipendi kutafuniwa napenda kujifunza mwenyewe mambo mapya ili nisitoe excuse kwa mtu yeyote yule ikitokea mambo yameenda kombo.
Baada ya kuona basketball inapigiwa chapuo sana humu na Wimicky kwamba inalipa nikaamua kutenga muda usiku Mzima wa Jana ili kuona kama kauli yao ina ukweli, nikajipinda nikapitia pitia rejea za mtandaoni kidogo then nikaingia mzigoni kuanzia saa 10 za usiku Jana ili kupambana na mabishoo wa NBA kule majuu. Hivyo experience na utafiti wangu umejikita zaidi kwenye ligi ta NBA na sio ligi nyingine.
Nikiwa sina experience wala nini lengo kuu likiwa ni kujifunza namna na technicality ya kuona kama naweza kupiga hela na kwenye basketball na baada ya Kazi ya Jana usiku nimethibitisha bila shaka basketball ina hela za haraka na uhakika kuliko football, sababu siku yangu ya kwanza tu Jana usiku nikiwa mwenyewe bila usaidizi, experience, nikiwa sijui hata mchezaji mmoja wa timu yeyote ya basketball wala kupewa code na mtu yeyote, nimebet mikeka 9 na nimemtandika Mrusi mikeka 7 na kupoteza miwili tu! Hii takwimu ni mpya ya Jana tu ambayo nikiwa bado sijabobea kwenye basketball.. Nikibobea zaidi kama manguli akina Wimicky, Mrusi ataniambia kwanini IDD Amini aliitwa Dada wakati ni wa kiume!? Ah ah ha!
Bwana void kuwa versatile and flexible, jikite na kwenye basketball kwa mtaji wako ule utapiga hela nzuri tu kwenye basketball. Trust me!View attachment 928730View attachment 928731
Siku zote huwa sipendi kutafuniwa napenda kujifunza mwenyewe mambo mapya ili nisitoe excuse kwa mtu yeyote yule ikitokea mambo yameenda kombo.
Baada ya kuona basketball inapigiwa chapuo sana humu na Wimicky kwamba inalipa nikaamua kutenga muda usiku Mzima wa Jana ili kuona kama kauli yao ina ukweli, nikajipinda nikapitia pitia rejea za mtandaoni kidogo then nikaingia mzigoni kuanzia saa 10 za usiku Jana ili kupambana na mabishoo wa NBA kule majuu. Hivyo experience na utafiti wangu umejikita zaidi kwenye ligi ta NBA na sio ligi nyingine.
Nikiwa sina experience wala nini lengo kuu likiwa ni kujifunza namna na technicality ya kuona kama naweza kupiga hela na kwenye basketball na baada ya Kazi ya Jana usiku nimethibitisha bila shaka basketball ina hela za haraka na uhakika kuliko football, sababu siku yangu ya kwanza tu Jana usiku nikiwa mwenyewe bila usaidizi, experience, nikiwa sijui hata mchezaji mmoja wa timu yeyote ya basketball wala kupewa code na mtu yeyote, nimebet mikeka 9 na nimemtandika Mrusi mikeka 7 na kupoteza miwili tu! Hii takwimu ni mpya ya Jana tu ambayo nikiwa bado sijabobea kwenye basketball.. Nikibobea zaidi kama manguli akina Wimicky, Mrusi ataniambia kwanini IDD Amini aliitwa Dada wakati ni wa kiume!? Ah ah ha!
Bwana void kuwa versatile and flexible, jikite na kwenye basketball kwa mtaji wako ule utapiga hela nzuri tu kwenye basketball. Trust me!View attachment 928730View attachment 928731
Wewe ndio kuna kitu hujaelewa, wale unaowaona YouTube wakivimba na magari na majumba ya kifahari, wanatafuta masoko ya wanafunzi wa kuwafundisha na huko ndio wanakopigia hela na sio kwenye Forex. George Soros na wengineo wachache ndio waliopiga hela kwenye Forex ila wengi wanapigwa vibaya sana.nimekuwa nikiona video youtube maisha ya mabillionaire waliotajirika kwa FOREX trade wnaonyesha majumba, magari na vitu vya gharama walivyochuma kupitia forex, lakini sijwahi kuona mabillionaire wa SOCCER BET ina maana tunaobet tunaliwa tuu hakuna matajiri wa bet?