Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Tehtehteh, simuachii.Naomba uchukue hiyo hela mkuu.. Mrusi ana watoto wa kulisha pia, mbakizie hicho kidogo akanunulilie watoto mkate wa kila siku.
Tehtehteh, simuachii.Naomba uchukue hiyo hela mkuu.. Mrusi ana watoto wa kulisha pia, mbakizie hicho kidogo akanunulilie watoto mkate wa kila siku.
Angalia statisric za GenoaNi kweli mkuu?
Umetishaa kaka...[emoji119][emoji91]mekuvuliaa kofiaaaAisee eee, Dejavu Nipe account number yako ya 1xbet, nikutwange 10k ya kusapoti mtaji.View attachment 928829
Ahahahaha!! Watu weweeeeee! Lazma tutoke mzawa. Nakupa namba mzawa fasta unibust mwanao.Aisee eee, Dejavu Nipe account number yako ya 1xbet, nikutwange 10k ya kusapoti mtaji.View attachment 928829
Pamoja mkuu.Umetishaa kaka...[emoji119][emoji91]mekuvuliaa kofiaaa
Mkuu tupia code nasisi tujikwamue mzee wangu [emoji2]Tehtehteh, simuachii.
Wewe kiongozi umeshindikana[emoji3][emoji3][emoji3]Pamoja mkuu.
Hahaha jaribu Mkuu Jana nimepiga laki mbili kwa sh 1200Umenishawishi nikufate
Tehtehteh nipo kozi mkuu, bado sijaiva.Mkuu tupia code nasisi tujikwamue mzee wangu [emoji2]
Wewe unatakiwa utunukiwe cheti umeshafuzu kozi mkuuTehtehteh nipo kozi mkuu, bado sijaiva.
Ahahahaha!! Unajua siku nzi akiacha ujinga na kutuliza kichwa anaweza kutengenza asali?Wewe unatakiwa utunukiwe cheti umeshafuzu kozi mkuu
kwa cardif hizo kona hafikishi.SPURS WIN
LEICESTER WIN
BOURNEMOUTH WIN
WEST HAM WIN
CARDIF GAME CORNER 9.5 OVER (CARD 3.5 OVER)
WATFORD WIN
SOUTHED UNITED GG & 2.5 OVER
GIRONA WIN
GETAFE WIN
NAPOLI WIN
TORINO WIN
HERTHA BERLIN WIN
BAYERN GG
FREIBUG I/X
MONTPELLIER WIN
VVV-VENLO GG
PSV EINDHOVEN WIN &GG
CHAMBUA HIZI KUWA MTU WA FURSA
Haya weka vitu sasa,ushakuwa nguli wa vikapu mkuuKuna haja ya kuanza kutupia 50k ikifika level hii nauza, nakuwa nimeshadouble. Aisee.View attachment 928816
Wewe ndio kuna kitu hujaelewa, wale unaowaona YouTube wakivimba na magari na majumba ya kifahari, wanatafuta masoko ya wanafunzi wa kuwafundisha na huko ndio wanakopigia hela na sio kwenye Forex. George Soros na wengineo wachache ndio waliopiga hela kwenye Forex ila wengi wanapigwa vibaya sana.
Ile ndio biashara ambayo 80% ya wanafunzi wanaikimbia ndani ya mwezi mmoja peke yake.
Betting ni bora kuliko Forex. Ningekuwa na muda ningekufafanulia zaidi.
ukiiva tuuu tupo na wewe japokuwa na sisi tunakula tizzy kinamnaaaTehtehteh nipo kozi mkuu, bado sijaiva.
Ama kweli kukosea njia ndo kuijua, bila kujua nimebet ligi ya basket ya Uchina quarter moja, nikaona under ziko juu mno .Kumbe quarter moja dakika 12, sio 10 kama ligi zingine.Nimekula za usooo!!inshort hili darasa tosha kabisa.Ahahahaha!! Unajua siku nzi akiacha ujinga na kutuliza kichwa anaweza kutengenza asali?
Huyu void akitulia vizuri na basketball inplay lazma tumtafutie jina jipya la Freemason.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ama kweli kukosea njia ndo kuijua, bila kujua nimebet ligi ya basket ya Uchina quarter moja, nikaona under ziko juu mno .Kumbe quarter moja dakika 12, sio 10 kama ligi zingine.Nimekula za usooo!!inshort hili darasa tosha kabisa.
Hii ya kuuza inakuaje mkuuKuna haja ya kuanza kutupia 50k ikifika level hii nauza, nakuwa nimeshadouble. Aisee.View attachment 928816