Mkuu kama una code tutupie 1xbetWeka mzigoView attachment 928735
Ni kweli mkuu?Leo Genoa yupo uwanjani huyu ni mzee wa kuto over 0.5 first half
Pesa izo usisite..nimeslip bet kwa xxxxxChagua zako mbili ama 3 weka pesa teleza..
NB: Game ya Man city vs Man u cheza Over 1.5 / 2.5 goals (inaweza toa draw ama Man U akateleza kama kawaida yake)
TIPS
XXXXXXXXXXXXXXXXXXX
- Valladolid – Eibar
×
3 Way
Your Pick: Valladolid
2.41- Leicester – Burnley
×
3 Way
Your Pick: Leicester
1.55- Guingamp – Lyon
×
3 Way
Your Pick: Lyon
1.76- XXXXXXXXXXXXXXX
- Crystal Palace – Tottenham
×
3 Way
Your Pick: Tottenham
1.77- Borussia Dortmund – Bayern Munchen
×
3 Way
Your Pick: Bayern Munchen
2.02- Roma – Sampdoria
×
3 Way
Your Pick: Roma
1.49- XXXXXXXXXXX
- Manchester City – Manchester Utd
×
3 Way
Your Pick: Draw
4.97- XXXXXXXXXXXXX
- Arsenal – Wolverhampton
×
3 Way
Your Pick: Arsenal
1.69- Sevilla FC – Espanyol
×
3 Way
Your Pick: Sevilla FC
1.89
Nimegundua nikituma hivi NI rahisi Sana huwa nataman kila mtu apate ila ikiwa loss sijui mnakubali msiwe mnakasirika eeeh jamani ndo kazi tuliyochagua
Umenishawishi nikufate
Safi Sana! Endelea kujipekecha hadi upate strategy itakayokufaa kwenye basketball.Mkuu Dejavu ,nimeanza kuchukua kozi. Natest mitambo.View attachment 928811
Kuna mmoja nilikuwa nae room moja pale mabibo hostel aliingia huo mkenge wa sijui FOREX sasa badala ya yeye awe tajiri wa room kwa kipato cha FOREX ndo kwanza akaanza kutupiga mizinga huku akitushawishi tujiunge nao cha ajabu semister ya kwanza tu akawapiga chini[emoji28] [emoji28] [emoji28]Wewe ndio kuna kitu hujaelewa, wale unaowaona YouTube wakivimba na magari na majumba ya kifahari, wanatafuta masoko ya wanafunzi wa kuwafundisha na huko ndio wanakopigia hela na sio kwenye Forex. George Soros na wengineo wachache ndio waliopiga hela kwenye Forex ila wengi wanapigwa vibaya sana.
Ile ndio biashara ambayo 80% ya wanafunzi wanaikimbia ndani ya mwezi mmoja peke yake.
Betting ni bora kuliko Forex. Ningekuwa na muda ningekufafanulia zaidi.
Mkuu utupie kabla utuwekee na code sisi wengine ni slow learnerMkuu Dejavu ,nimeanza kuchukua kozi. Natest mitambo.View attachment 928811
Pamoja mkuu.Safi Sana! Endelea kujipekecha hadi upate strategy itakayokufaa kwenye basketball.
Naona Wimicky amejikita sana kwenye handicap. Tafuta lane yako upige hela mzawa.
We jamaa ni hatari sana... Nakushauri utembelee vikapu 50 over per quarter moja. Naona unapanda hadi 67. Risk taker mkuu. Ahahahaha!Mrusi anapata tabu.View attachment 928819
Naomba uchukue hiyo hela mkuu.. Mrusi ana watoto wa kulisha pia, mbakizie hicho kidogo akanunulilie watoto mkate wa kila siku.Mrusi anapata tabu.View attachment 928819