Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwa cardif hizo kona hafikishi.
 
nimekupata mkuu
 
Ahahahaha!! Unajua siku nzi akiacha ujinga na kutuliza kichwa anaweza kutengenza asali?
Huyu void akitulia vizuri na basketball inplay lazma tumtafutie jina jipya la Freemason.
Ama kweli kukosea njia ndo kuijua, bila kujua nimebet ligi ya basket ya Uchina quarter moja, nikaona under ziko juu mno .Kumbe quarter moja dakika 12, sio 10 kama ligi zingine.Nimekula za usooo!!inshort hili darasa tosha kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…