Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie kwenye soka nimeacha kitambo sana,nimo humu kwenye basket tena inplay.Mrusi nampa za chembe daily, ila leo ilikuwa zamu yangu.Inplay ni bus ya mwendokasi, ukikosa umakini kidogo tu inakula kwako.Kuna kukimbizana na odds na muda.Maana kwenye inplay vinakwenda kasi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…