Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada jaman naomba mnieleweshe hizo handicap kwa mfano hapo wameweka 1(-19.5) na huko wameweka 2(19.5) plz msaad hapo manake nataka niingie huku rasmi
Screenshot_20181110-190119.jpg
 
Hii kitu niliweka mapema kabisaaa
So far mambo sio mabaya 2 to go, 1 down! Nimeficha hapo maana naenda kutia hasara kampuni kama ni win ticket.
Nani aliufuata? Yajayo.....
IMG_20181110_191546_032.jpg
 
Inplay....

Leister city vs Bunley..

Yellow cards under 2
Odds 2++

Risky 100%
 
Back
Top Bottom