Mmelo
Member
- Sep 25, 2015
- 59
- 28
Twende kazi tulitembea wotee hiiLost!!!
Twende kazi tulitembea wotee hiiLost!!!
Hujaelewa wapi
Stake refunded...Inplay....
Leister city vs Bunley..
Yellow cards under 2
Odds 2++
Risky 100%
Kwanini
Mwenyewe hapa napumuliaa mashine[emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzenu ndo hivyo tens,
Bwana Putin anigongomelea rungu la mwisho,
Kanipuliza fyuuuuuu mtaji wote sina jipya tena,
Endelezeni mapambano
Mi narudi darasa la Google kujifua zaidi na vikapu,
Nkisharudi ni mwendo wa nondo tu.
Daah ni darasa refu mkuuyan kiujumla kila nikiangalia sielewi mkuu.msaada
Watu wanaweza kupindua matokeo aiseee hahaahaaaaKwamba umeficha pale ili kukwepa maharamia wa mtandao siyo
Hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]poleInauma sana pale refa anapoongeza dakika 6 na kusababisha loss
Pole sana mkuuInauma sana pale refa anapoongeza dakika 6 na kusababisha loss
unakuta refa kaweka mzigo[emoji38][emoji38]wazungu kwa kubeti wanaongoza,Inauma sana pale refa anapoongeza dakika 6 na kusababisha loss