Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaaah ila maisha haya wanangu ndo maana waliotusua huwa wanalinga sana asee si mchezo imagine om kwenu wote wamelala ila wewe upo unakomaa na cm ama pc ili kuzisaka ngawira
 
Mnaodeal na Baskett mtupe mbinu mnafanyeje kuotea hizo over ? Toeni Maarifa halafu kila mtu atakufa kivyake, Maana mkoambiwa mtume mikeka Kabla Hali ya Hewa itachafuka humu! Wengine watataka code, wengine mikeka, So kwa ushauri wangu Tunawaomba mtupe Maarifa Tumuumize Mrusi!
 
Muda hui kufindiswaa sio rahis ma team ya elaa ndo yaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…