Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mpaka kufikia hapa,kwakweli hongera sana mkuu, umeshakuwa mzoefu tayari..I mean sina wasiwasi na wewe kabisaa yan hata ukidondosha Code au screenshot hapa kwenye jukwaa napita nayo nduki.
Ushauri wangu brother, muda huu so wa kucheza mwenye then unakuja kutuandikia,...“aiseeeee” inakuwa haipendezi
Tugawie na sisi ili tufurahi pamoja mkuu
Ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…