Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani kuna waliotoa mitonyo leo kupitia tigo maana sielew yahn tangu asubui ela Ina hang angani tu sijui.
 
Kizungu unajua ila kutafuta maarifa hutaki unaulizauliza tu kila siku,,,shule hazijafunguliwa? Jishughulishe ujue vitu mkuu,
Daaah unajuaa sikuona hii comment yko??anyway let me reserve my energy kwa kazi nyingine .....by felecia
 
Bwana Putin kajitoa ufahamu dakika ya 80' eti kaongeza odds 4+ under 2.5 ya yellow card,
Daaadek nikaruka nae ka mwewe,sema ilikuwa imebaki buku tu kwenye account, yani ningembabua.
 
kuna hii miamba lEintracht Frankfurt naisubiria nipate mihela tangu janan nimekwepa timu kubwa yan nilichofanyiwa uefa wacha nibet Deportivo La Coruna,1. FC Union Berlin, Hamarkameratene
 
Bwana Putin kajitoa ufahamu dakika ya 80' eti kaongeza odds 4+ under 2.5 ya yellow card,
Daaadek nikaruka nae ka mwewe,sema ilikuwa imebaki buku tu kwenye account, yani ningembabua.View attachment 930172
yani hii michezo bac tu mm nilimpa mhasimu wa arsenal ,mara naona droo ikabidi nirudi kati kuokoa fao langu na penyewe amani haikuwepo ,nikachomeka miguu tu kichwa nje,hawaaminiki hawa watu ohoooo
 
yani hii michezo bac tu mm nilimpa mhasimu wa arsenal ,mara naona droo ikabidi nirudi kati kuokoa fao langu na penyewe amani haikuwepo ,nikachomeka miguu tu kichwa nje,hawaaminiki hawa watu ohoooo
Nikuviziana tu,mbona kitaeleweka mkuu
 
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji192]k
Kudadeki leo mrusi hana masihara kabisa
 
Daaah tigo na airtel leo qamegoma kudeposit
Aaaaa wapi mi mbona airtel kitonga tu mzee baba!!
Yan nadipost dakka 0 tu, kabla ya SMS ya kuthibitisha ya mtandao, naikuta imetuna kwenye account.
We sema tu,umechoka na vipigo mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…