Wabongo hawa ni wavivu kujishughulisha kifikra
Mkuu nimeweka tangu saa 12 wamenikata ela haiji kwenye accountAaaaa wapi mi mbona airtel kitonga tu mzee baba!!
Yan nadipost dakka 0 tu, kabla ya SMS ya kuthibitisha ya mtandao, naikuta imetuna kwenye account.
We sema tu,umechoka na vipigo mzee
Mkuu pole sana kwa kukatwa... Wadai mzee baba wakurudishie pesa yakoMkuu nimeweka tangu saa 12 wamenikata ela haiji kwenye account
Mi naweka any time mzee,hakuna buguza,sema watakurudishia ikigoma, nadhani ni ndani ya SAA 24 kwahiyo tuliza nchecheto mjombaMkuu nimeweka tangu saa 12 wamenikata ela haiji kwenye account
Hawanaga huduma kwa wateja airtel.mokaa uende dukani kwaoMkuu pole sana kwa kukatwa... Wadai mzee baba wakurudishie pesa yako
Natulizaje wakati nba inaanza saa 5Mi naweka any time mzee,hakuna buguza,sema watakurudishia ikigoma, nadhani ni ndani ya SAA 24 kwahiyo tuliza nchecheto mjomba
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mkuu wabongo bhana hapana. Jana niliona Dejavu kasema anajifunza mwenyew na kaelewa na kapata faidaSana utasikia msaada maana ya GG nn wakati kila kitu kimo mtandaoni mkuu
Jan nilikosa 1500 eti nangojea mpaka full-time,Bora uuze huo mkeka upate hata hiyo 600; utaikosa shaur yako
Acha basi nawewe siku hiz mtaalamu wa ^ikapuuNatulizaje wakati nba inaanza saa 5
“Maji yamewafika hapaaaaaa”Wazee wa inplay Leo wametokomea
Acha basi nawewe siku hiz mtaalamu wa ^ikapuu
Mkuu bora ww umeweka yahn....me nimetoa tangu saa 5 ile mwanaume nikavimbe heeee......hamna kitu holaaaa sijui inakuwaje hapo.Mi nimedeposit kwa airtel mpka sasa sioni kitu
Mkuu bora ww umeweka yahn....me nimetoa tangu saa 5 ile mwanaume nikavimbe heeee......hamna kitu holaaaa sijui inakuwaje hapo.
“Maji yamewafika hapaaaaaa”
Hahaha aya izungushe tena hyo uliyopta ule uliwe mpka ibaki tena buku hafu ule tena mzunguko usonge o wakupune kabisa uwawekee wakina void mupunga yao.Bwana Putin kajitoa ufahamu dakika ya 80' eti kaongeza odds 4+ under 2.5 ya yellow card,
Daaadek nikaruka nae ka mwewe,sema ilikuwa imebaki buku tu kwenye account, yani ningembabua.View attachment 930172
Nikiona hakuelewwk tuu; nauza mkeka na mda mwingn kuuza mkeka kunaleta na faidaJan nilikosa 1500 eti nangojea mpaka full-time,
Majamaa wakatoka 0-0 na nilikuwa nimewapa over 2.5.
Hata 1500 sikuiona imepitia wapi mkuu,
Bwana Putin alipoona maji yamenifika hapaaa,huyooooo akainyakua nyaku-nyaku
The home to win or drawMtaanza usumbufuu wa kuuuliza 1X manake ni nn
Umeweka mpunga mda gaaan???Aaaaa wapi mi mbona airtel kitonga tu mzee baba!!
Yan nadipost dakka 0 tu, kabla ya SMS ya kuthibitisha ya mtandao, naikuta imetuna kwenye account.
We sema tu,umechoka na vipigo mzee
Both teams to score!Sana utasikia msaada maana ya GG nn wakati kila kitu kimo mtandaoni mkuu