Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tupe bas mambinu
mdau mimi huwa nasubiria quarter ya pili nafanya tathmini ya matokeo kisha naweka mzigo huwa nacheza over ya point za jumla za timu zote mbili, katika hizo over huwa nachagua over ya kwanza ili niwe salama zaidi lkn kwa ligi kama NBA au Sweden huwaga sina wasiwasi kabisa na over
 
Ok boss utatuoyeshea kidogo mkeka wako tuone system
 
NBA ya leo ni ya vilaza kuweni makini mnapocheza over, quarter moja imeshindwa kufikisha hata point 60.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…