Troyes
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 1,405
- 1,197
Hahahah mapambano yanaendelea broPopo mimi nimekesheaa movie
Hahahah mapambano yanaendelea broPopo mimi nimekesheaa movie
Ni sheeedah aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakeshaji wamewalaani
Huwa nakukubali sana japo ....nikikufuata won zinakuwepo shida mtaji tu ngoja nitembeetembee na ww hope siku moja ntakutumia vocha aseeeView attachment 931389View attachment 931391GG BOOOOOM
2+ ODDS BOOM SAFIDOO APPOLONView attachment 931389View attachment 931391
MadalaliHAO MLIPA NDO WAKINA NANI
Ni kweli tatizo huwa ni mtaji, unajitahidi kukusanya muda ukisema uweke dau kubwa linapukutishwa loteee daaah maumivu ya kichwa yanaanzia hapo sasaHuwa nakukubali sana japo ....nikikufuata won zinakuwepo shida mtaji tu ngoja nitembeetembee na ww hope siku moja ntakutumia vocha aseee
Wakuu hivi quarter moja kwenye basketball inakuwa na dakika ngapi?
Hili la dakika mwanzoni lilikua linanikosti sana,, unakuta pale dakika zinaonyeshwa 10 gone na odds unaona zinaibeba option fulani basi najikuta nijilipua weeee kumbe zinazoonyeshwa pale zipo mbele kuliko uhalisia,,nkawa napigwaje[emoji23][emoji23][emoji23]10 ila baadhi ya ligue kubwa kama NBA na China ni 12
Huu uzi umeingiliwa na virus zinatuma tu "won bets" sijui wanajua hapa ni sehemu ya kuringishia ushindi.
Watu wanashinda pesa nyingi sana na hawaringishii kama wewe jamaa wa "Aisee".. Uwe unaleta na unazopoteza mzee dingi.
Heshima ziende kwenu wakuu kwa kuutendea haki huu uzi na kusaidiana kushinda bets. Ku share nizaidi ya kujali. [emoji573][emoji573][emoji573]
Pdidy
DeepPond
Mr. Wise
Dejavu
koncho77
Ngojea Pdidy atakuja na mabomu ya ukweli hajawahi kuniangushawenzangu wa mpira wa miguu naombeni code
sawa mkuuNgojea Pdidy atakuja na mabomu ya ukweli hajawahi kuniangusha
Huwa boya sana huyo na hapo hachomokiGSW maji ya shingo tena dah.
Naam mkuu especially Steve Curry akiwa hachezi.Huwa boya sana huyo na hapo hachomoki
Daah hata hafungi yani wanakosa tuHuwa boya sana huyo na hapo hachomoki
Nimempa na cap ya 5 bado anakanyagwa tu anaenda anakosa tuDaah hata hafungi yani wanakosa tu
We jamaa unamfundisha mentor wako sio?? Kijana unajifanya umekuwa mjizu sasa hahahahaahahaaaaaWhy are u doing all this while kuna watu walikuwa wanakusubiri uwapostie nao wapate ela kama ww bt u have turned the table upsidedown instead of sendin mikeka ur sendin ushindi ...for me its not bad coz i dnt have even money in ma account bt kuna wengine wapo macho kwa ajili yko try to do somthin for them[emoji120]