Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna siku jamaa alikuwa anawalalamikia M-LIPA, na 1xbet...Sasa ndio nimeanza kuwaelewa! Ni nimetoa 245k trh 6 , mpk Sasa chafu.. nikaamua kuweka 70k juz mpk Sasa chafuu! Nimewapigia M-LIPA, wakanipatia namba nyingine tofaut, nimeipiga wanakataa tuu mpk sasa! Daah aiseeeeee!!
Mm apa mkuu nililalamika sana watu wakawa wananitukana wanaona kama nazingua sasa wanaanza kuprove na wao kama ww apo
 
dunia ya sasa si ya kumuambia mtu there is a technical problem ,eti avumilie,mara akute akanti peupe na hali pesa ilikuwemo,nina mashaka sana sana,,ila kazi kwetu
 
Jamani hakuna mwenye salio 1xbet au mnataka mpaka mu withdraw lakini siyo kubadilishana na mwingine
Kubadilishana kama unavyosema wewe, 1xbet wanaruhusu 15€ tu na si vinginevyo. Hiyo 100k mtatumianaje??
 
Labdaungewaelekeza wenzako jinsi ya kufanya full na fast registration
Mkuu mibaraka yako hii
Screenshot_20181112-200015.jpeg
 
Baada ya mtonyo kugoma 1xbet nikadeposit Gal Sport Betting na mambo yakaenda safi sasa nataka kuwithdraw nakuta hamna option ya kutumia mobile payments. Nawauliza wananiambia eti sorry for inconvenience sasa si ujuha huu mi nataka hela wenyewe wananiambia sorry... Kenge wa buluu hiyo sorry inanisaidia nini.??? Mjusi mmoja wewe ulonambia sorry
 
dunia ya sasa si ya kumuambia mtu there is a technical problem ,eti avumilie,mara akute akanti peupe na hali pesa ilikuwemo,nina mashaka sana sana,,ila kazi kwetu
Huyo jamaa kajichanganya ktk maelezo yake, so wamesolve ttzo kulingana na maelezo yake. 1xbet wana technical team wa aina mbili 1. Wa security, 2. Wanaohusiana na miamala na matatzo madogo madogo. So kwa case kama hiyo kuwa na wale wa security. Je hao wa security wamemjibu nini? Coz mm nilishawahi kutwana case kama hiyo lakini ni tofauti kidogo, nilihangaika sana hao wa security wakaja kuniokoa na account ikarudi na mtonyo nikakuta umeongezeka cz kunamkeka kipindi hicho ac ilivyopata majanga tayari nilikiwa nishaweka mkeka.
 
Natamani kama kuna wadau humu wenye uwezo wa kupeleka malalamiko yetu kwa wahusika wa M Lipa & 1xbet wafanye hivyo jamani maana wanatunyanyapaa sana haikubaliki wanachotufanyia hata kidogo
Me nliwrumia email 1xbet faster hela yangu ika rudi hao Mlipa ni vibaka kuna haja ya kulipa kupitia platfoam zingine
 
*MD*🥇🇳🇬


*Booking Number:Z6NTFXQS*
12/11/2018 09:46:26

Date 12/11/2018 13:45
*Malaysia - Laos*

Selection Over2.5✅✅✅✅

Date 12/11/2018 12:30
*Myanmar - Cambodia*

Selection 1✅✅✅✅

Date 12/11/2018 13:45
*Fujairah FC - AL Ain FC*

Selection Over2.5✅✅✅✅


*2.05odds*

*Stake:* ₦ 5,000.00

MD REGULAR TiPS


_*🅱🅾🅾M*_✅
*🅱🅾⚽♏*✅
_*🅱🍏🅾♏*_✅


*☪🅾NGR🅰✝⛎L🅰✝I🅾N.* 🤝
🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻
*☘☘☘GAME_WON*☘☘☘☘🤑🤑🤑🤑🤑💵🤑🤑💵💵
 
ZILIZOANZA CHEZA INPLAY

🔰 Free Ticket 🔰

Slip Four (4)

Brest Vs Nancy
1
Cliftonville Vs Newry City
1
Total Theoritical Odds Is 2.00

🔰 Free Ticket 🔰

Slip Five (5)

Tigre Vs Argent Juniors
Under 3.5
CA Ferux Pilar Vs Club Atletico Accissoso
Under 3.5
Cliftonville Vs Newry City
Over 1.5
Total Theoritical Odds Is 5.00

🔰 Free Ticket 🔰

Slip Six (6)

Sriwijay FC Vs Barito Putera
Home Score
Cliftonville Vs Newry City
1
Santos Chapecense City
Home Win Either Halves
Pontedora Vs ACD Virtus Entella
Under 3.5
Total Theoritical Odds Is 10.00

🔰 Free Ticket 🔰

Slip Seven (7)

GS Apollon Vs Aris
GG
Total Theoritical Odds Is 2.28
 
*MD*🥇[emoji1184]


*Booking Number:Z6NTFXQS*
12/11/2018 09:46:26

Date 12/11/2018 13:45
*Malaysia - Laos*

Selection Over2.5[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

Date 12/11/2018 12:30
*Myanmar - Cambodia*

Selection 1[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

Date 12/11/2018 13:45
*Fujairah FC - AL Ain FC*

Selection Over2.5[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]


*2.05odds*

*Stake:* ₦ 5,000.00

MD REGULAR TiPS


_*[emoji743][emoji745][emoji745]M*_[emoji736]
*[emoji743][emoji745][emoji460][emoji756]*[emoji736]
_*[emoji743][emoji520][emoji745][emoji756]*_[emoji736]


*[emoji1279][emoji745]NGR[emoji742][emoji1276][emoji761]L[emoji742][emoji1276]I[emoji745]N.* 🤝
[emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
*[emoji891][emoji891][emoji891]GAME_WON*[emoji891][emoji891][emoji891][emoji891][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji385][emoji857][emoji857][emoji385][emoji385]
Safi sana mkuu kwa tips zako,,endelea kumwaga vitu mzee baba
 
Back
Top Bottom