shebby05
Member
- Nov 11, 2018
- 43
- 33
Shukrani sana
Shukrani sana
Hio account ya kampuni gani unafungua kama unaomba Visa ya marekani aisee!Mkuu iyo picha inatakiwa ionekane vizuri(kama simu yako haitoi picha clear omba hata ya mtu) maandishi ya icho kitambulisho yaonekane vizuri pia yasomeke
Hahahaha 1xbet mkuuHio account ya kampuni gani unafungua kama unaomba Visa ya marekani aisee!
jaribu kutoa laki laki au hamsini hamsini uone ka itakubali1xbet wananipiga maswali huku balaa, cjui hawataki kunipa laki nane yangu
hahahaha wanaweka za kuliwa tu ama inakuaje, yani kampuni za kibongo jau sana!Niko princess bet in play basketball wanaweka wanazotaka wao
imekuaje tena hadi unasumbuliwa hivyo mkuuHahahaha 1xbet mkuu
Wamepigwa pesa ndefu so kama ulifanya registration ya fast register wanakubania hapo ,nawashauri ndugu zangu tujiregister kwa full registration na sio hiyo ya fast ipo kwa ajili ya kubana pesa zetuimekuaje tena hadi unasumbuliwa hivyo mkuu
Hahaha hatari sana, kweli niliona mambo ya vitambulisho kwenye profile sema sijajaza chochote!Wamepigwa pesa ndefu so kama ulifanya registration ya fast register wanakubania hapo ,nawashauri ndugu zangu tujiregister kwa full registration na sio hiyo ya fast ipo kwa ajili ya kubana pesa zetu
KwakweliWamepigwa pesa ndefu so kama ulifanya registration ya fast register wanakubania hapo ,nawashauri ndugu zangu tujiregister kwa full registration na sio hiyo ya fast ipo kwa ajili ya kubana pesa zetu
Hahaha hatari sana, kweli niliona mambo ya vitambulisho kwenye profile sema sijajaza chochote!
Labda ulijiregister kwa promo codeMbona kwangu natoaga pesa bila maswali mengi na mambo ya kitambulisho sijatumiaga hata,lakini nilitoaga kama 450,000/= wala hakuna maswali
DuuuuuuhNimefunguliwa account yangu, cha kushangaza inasoma balance 0. Akati nlkua na 800,000. Nawauliza hawanijibu chochote
Kwani uliwithdraw kiasi gani? Wasiloana na M lipaNimefunguliwa account yangu, cha kushangaza inasoma balance 0. Akati nlkua na 800,000. Nawauliza hawanijibu chochote
Nilikataliwa kuwithdraw na 1xbet, ko nikafungiwa account mbaka nifanye verification. Nimefanya verification wakafungua account, ila xx account haina kituKwani uliwithdraw kiasi gani? Wasiloana na M lipa
OK pole hapo wasiliana nao kwa njia ya email. Hope watasolve tatizo lako.Nilikataliwa kuwithdraw na 1xbet, ko nikafungiwa account mbaka nifanye verification. Nimefanya verification wakafungua account, ila xx account haina kitu
Utakuwa ulijisajili kwa njia ndefu ya EmailMbona kwangu natoaga pesa bila maswali mengi na mambo ya kitambulisho sijatumiaga hata,lakini nilitoaga kama 450,000/= wala hakuna maswali