Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna pesa nyingine iko wazi 1XBET jamani,mwenye chochote code hii hapa
Screenshot_20181112-190401.png
Screenshot_20181112-190401.png
Screenshot_20181112-190401.png
 
Daaa leo 1xbet wamenifanya niwe ka mgonjwa huko kwingine kubet nashindwa nishazoea huku kwa mrusi option kibao,team kibao,kupiga na kupigwa ni chap tu yaan
 
Hivi Mkuu hujaona watu wanajadili 1xbet kuna tatizo la deposit na withdraw wewe umeendelea kudeposit?
Kama hukuona pole.Piga huduma kwa wateja watakusaidia.
Wakuu msaada nimeseposite 1xbet lakin pesa ajaingia na pesa ishakatawa
 
Jamani hakuna mwenye salio 1xbet au mnataka mpaka mu withdraw lakini siyo kubadilishana na mwingine
 
NAULIZA TENA 1XBET INA USAJIRI HAPA TZ???.
KAMA HAMNA TUWE MAKINI NA HAWA WATU,ONE DAY KUNA MTU ATALIA ZAIDI,HAWA JAMAA WANA MICHEZO MICHAFU KWENYE BETTING ILA HAMJAWAJUA TU,HASA HAPA KWETU TZ,MANA WANAWATEJA DUNIA NZIMA

SO GUYS TUWE MACHO SANA,KWENYE HELA HAKUNA UNDUGU WALA UBINADAMU,WANAWAJUA WA TZ NIWANJANJA KAMA WA NIGER,[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom