Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyo jamaa kajichanganya ktk maelezo yake, so wamesolve ttzo kulingana na maelezo yake. 1xbet wana technical team wa aina mbili 1. Wa security, 2. Wanaohusiana na miamala na matatzo madogo madogo. So kwa case kama hiyo kuwa na wale wa security. Je hao wa security wamemjibu nini? Coz mm nilishawahi kutwana case kama hiyo lakini ni tofauti kidogo, nilihangaika sana hao wa security wakaja kuniokoa na account ikarudi na mtonyo nikakuta umeongezeka cz kunamkeka kipindi hicho ac ilivyopata majanga tayari nilikiwa nishaweka mkeka.
Mwelekeze basi nn cha kufanya ili apate mtonyo wake
 
Jana ilinipa mtaji kinamna hii
 

Attachments

  • 2018-11-12_02-55-56.png
    2018-11-12_02-55-56.png
    70.2 KB · Views: 31
Aisee imekubali kutoa mitonyo yahn haw mlipa wapuuzi sana mtu unaishi kama huna mihela buana.
 
Jaman fatilieni hii mech timu away inaongoza goli 2 akin mrusi anapandxha odds hatar mbk znefka 5
 

Attachments

  • IMG_3174.JPG
    IMG_3174.JPG
    53.8 KB · Views: 33
Back
Top Bottom