Haaah ahaaa Mkuu relax fanya kama umechukua off kwenye mambo yako..Fanya mambo mengine.
Hata nami nimeongea na vodacom wakaniambia wao ndiyo system yao haiko sawa wanaishauri niwe mpole na ndiyo hivyo tunapishana na Mrusi sasa