Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huwa nakukubali sana japo ....nikikufuata won zinakuwepo shida mtaji tu ngoja nitembeetembee na ww hope siku moja ntakutumia vocha aseee
Ni kweli tatizo huwa ni mtaji, unajitahidi kukusanya muda ukisema uweke dau kubwa linapukutishwa loteee daaah maumivu ya kichwa yanaanzia hapo sasa
 
10 ila baadhi ya ligue kubwa kama NBA na China ni 12
Hili la dakika mwanzoni lilikua linanikosti sana,, unakuta pale dakika zinaonyeshwa 10 gone na odds unaona zinaibeba option fulani basi najikuta nijilipua weeee kumbe zinazoonyeshwa pale zipo mbele kuliko uhalisia,,nkawa napigwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
WAKUU KUNA YEYOTE ALIYETOA PESA JANA 1XBET AKAPATA,MIMI NIME WITHDRAW TANGU SAA TANO ASUBUH HAD SASA SIJAPATA CHOCHOTE NA NINA UHITAJI NAYO.

MKEKABET IS WORTH BETTER THAN 1XBET IN MONEY TRANSACTIONS!!.
 

Wewe sio wa kwanza Kulalamikia Hii kitu! Wapo wengi waliolalamika wakaonekana Wana wivu na Roho mbaya! Kutoa msaada ni Moyo ukiona Mtu hawezi kutoa mwache tu kama alivyo! Huwezi kubadilisha hii kitu coz ni Asili yetu Waafrika ndio maana Tupo kama tulivyo wakati tuna madini na rasilimali kama zote! Hata wazungu wanajua Siku tukiungana tukashirikiana Litakuwa janga kubwa sana kwao ila kwa vile tabia zetu zinajulikana, Hawana . Hata Presha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanajua hiyo siku haitakuja tokea! Kuna watu humu waliongea kitu cha maana sana Walisema Kama unampiga Mrusi usitugee mikeka Tupe Mbinu, tupe Darasa unampiga vipi! Lakini kutoka na Uafrika wetu hilo zoezi likashindikana kwahyo cha Msingi ni kutulia tu
 
We jamaa unamfundisha mentor wako sio?? Kijana unajifanya umekuwa mjizu sasa hahahahaahahaaaaa
Sizitaki mbichi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…