Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WAKUU KUNA YEYOTE ALIYETOA PESA JANA 1XBET AKAPATA,MIMI NIME WITHDRAW TANGU SAA TANO ASUBUH HAD SASA SIJAPATA CHOCHOTE NA NINA UHITAJI NAYO.

MKEKABET IS WORTH BETTER THAN 1XBET IN MONEY TRANSACTIONS!!.
But very poor in game distribution, kinachowafanya watu wang'ang'anie 1xBet ni kwa vile hawabagui game zote zipo alimradi ziwe zinachezwa kwa siku husika! Kule kwengine wanaweka game chache sana na za live waweza kuta zinazoanza mchana tu na sio ligi zote, its way better kuwa 1xBet kuliko kampuni nyengine yeyote japo Transactions hazipo stable!
 
Sometimes you have to close your mouth and let your eyes listen Boss. This is how we are mzee baba nachoona cha muhimu hapa mkuu ni kwamba option ziko nyingi na michezo ipo mingi sana ya kubet ukikaa ukafautilia option mbalimbali kwa makini huwezi kukosa ambayo wewe utakuwa mjuzi na utafanikiwa kupitia hiyo option. No matter how situation may seem but always there is something you can do and succeed at Boss. Kama wamekataa kutoa mbinu wanazotumia tusiwasumbue hili ni jukwaa huru isitoshe si lazima watu wapate mafanikio kupitia njia ya mtu mwingine everyone should find his or her own way to succeed. Hainiingii akilini mtu anakaa kulalamika eti upost kabla haujaplace bet ili akopi... Whaaat a shame to a man who can work for his own. Wamekataa kutoa mbinu its oky lets find our own ways wakuu. Boss umezungumzia knowladge ni kitu poa sana hiyo ila wachache watakuelewa wale wa kuomba code na mikeka hawatokuelewa.
 
πŸ”° Free Ticket πŸ”°
βœ…βœ…βœ… WON βœ…βœ…βœ…
Slip Four (4)

Brest Vs Nancy
1βœ…βœ…βœ…
Cliftonville Vs Newry City
1βœ…βœ…βœ…
Total Theoritical Odds Is 2.00βœ…βœ…βœ…

πŸ”° Free Ticket πŸ”°
βœ…βœ…βœ… WON βœ…βœ…βœ…
Slip Five (5)

Tigre Vs Argent Juniors
Under 3.5βœ…βœ…βœ…
CA Ferux Pilar Vs Club Atletico Accissoso
Under 3.5βœ…βœ…βœ…
Cliftonville Vs Newry City
Over 1.5βœ…βœ…βœ…
Total Theoritical Odds Is 5.00βœ…βœ…βœ…

πŸ”° Free Ticket πŸ”°
βœ…βœ…βœ… WON βœ…βœ…βœ…
Slip Seven (7)

GS Apollon Vs Aris
GGβœ…βœ…βœ…
Total Theoritical Odds Is 2.28βœ…βœ…βœ…
 
MAIN VIP TIPS
France
Brest vs Nancy
Tip 1@1.55

Brazil
Santos vs Chapecoense
Tip 1@1.55

Germany
Wehen vs Carl Zeiss Jena
Tip 1@1.60

#######
BONUS
England
Hampton & Richmond – Oldham
2 @ 1.65

Germany
Wehen – Carl Zeiss Jena
BTS (YES) @ 1.70

N Ireland
Cliftonville FC - Newry City AFC
Tip 1 @1.28

Denmark
FC Helsingor - Viborg FF
Tip over1.5 @1.25

#######
BIG ODDS
Egypt
Pyramids – Misr Elmaqasah
1 @ 2.10

Greece
Smyrnis – Aris
2 @ 2.10
 
Shusha vitu vingine mkuu nakuaminia sana madini yako huwa yana vitamin vya kutosha
 
MKUU HUONI KWAMBA "KUTOKUWA NA TRANSACTION ZA UHAKIKA NI TATIZO" KUBWA ZAIDI YA KUWA NA POOR GAME DISTRIBUTION?.IMAGINE KUNA MDAU JUZI KASHINDA LAKI 8,WAMEMSUMBUA KUTOA MWISHO WA SIKU ANAANGALIA ACCOUNT ANAKUTA INASOMA 0.0,WATU WENGI HUMU WANALALAMIKA,HATULALI USINGIZI TUNAKESHA TUNAJARIBU BAHATI MWISHO WA SIKU UNACHOKIPATA HUPATI,MAANA YAKE NI NINI,HIZO MECHI NYINGI FAIDA YAKE NI NINI?.AIM YA KILA MMOJA NI KUPATA HELA,SI KUONA DISPLAY YA MECHI NYINGI.KUNA WADAU HUMU LEO WANA SIKU YA KUMI HAWAJAPATA PESA,MIMI NIMETOA JANA 150K SIIONI,MASAA 24 YAMEPITA,BADO NIENDELEA KIIFURAHIA KUWA NA OPTION NYINGI,ZILIZO USELESS?.
 
[11/13, 10:08 AM] Prince Charming GEM: 2odds daily
**************
Z6NTRYSW


1091 Super League
GS Apollon - Aris
X2 1.15βœ…βœ…βœ…
2292 Ligue 2
Brest - Nancy
1 1.52βœ…βœ…βœ…
4146 Premiership
Cliftonville FC - Newry City AFC
1 1.21βœ…βœ…βœ…

Odd2.12βœ…βœ…βœ…
[11/13, 10:08 AM] Prince Charming GEM: Z6NTS9ZB


9150 1st Division
FC Helsingoer - Viborg
GG 1.55βœ…βœ…βœ…
1091 Super League
GS Apollon - Aris
X2 1.15βœ…βœ…βœ…
2292 Ligue 2
Brest - Nancy
1 1.52βœ…βœ…βœ…
4146 Premiership
Cliftonville FC - Newry City AFC
1 1.21βœ…βœ…βœ…

Odd3.28βœ…βœ…βœ…
[11/13, 10:08 AM] Prince Charming GEM: Daily over 2.5
****************
Z6NTRHVG


4146 Premiership
Cliftonville FC - Newry City AFC
Over(2.5) 1.47βœ…βœ…βœ…
1104 Arabian Gulf Cup
AL Jazira - Al-Nasr Dubai SC
Over(2.5) 1.40βœ…βœ…βœ…

Odd2.06βœ…βœ…βœ…
[11/13, 10:08 AM] Prince Charming GEM: Daily away win
*****************
Z6NTRN68


9150 1st Division
FC Helsingoer - Viborg
2 2.50βœ…βœ…βœ…
Single

Odd2.50βœ…βœ…βœ…
[11/13, 10:08 AM] Prince Charming GEM: Daily home win
*****************
Z6NTRSN7


1008 Brasileiro Serie A
Santos FC - Chapecoense SC
1 1.47β™»β™»
2292 Ligue 2
Brest - Nancy
1 1.52βœ…βœ…βœ…
4146 Premiership
Cliftonville FC - Newry City AFC
1 1.21βœ…βœ…βœ…

Odd2.70β™»β™»
 
Uko sahihi mwamba, inauma sana kutoa hela usiipate na ndio kinachonifanya niwe mpenzi mtazamaji mpaka hii leo! Nina account ya hawa jamaa ila nasita kudeposit hata elfu 10 tu maana inaweza ikanaswa, hii case yako utakuwa mtu wa mia moja na 6 kulalamika! Kibaya jamaa hawana ofisi Tanzania ni ngumu hata kuwa trace!
 
Huyo jamaa wa laki 8 inaonekana walimbania kutoa hela kutokana na aina ya registration aliyofanya. Angekua amefanya full registration wala asingesumbuka kutoa. Mbona watu wanapiga milioni lakini sijawasikia wakilalamika kuwa wamebaniwa kutoa hela.
By the way vip kuhusu meridianbet wanatoza kodi?
 
Kule kodi kama shikamoo mzee baba! Usitegemee utabaki salama ni kampuni ambayo inatambulika vyema ndani ya serikali ya jiwe
 
YAANI NI FULL MATATIZO MKUU CUSTOMER CARE(M-LIPA) UNAPIGA SIMU HADI UNACHOKA,SIMU HAZIPOKELEWI,KILA KITU KITU NI HOVYO HOVYO TU.
 
ILA KITENDO WANACHOTUFANYIA M LIPA SIO CHA KIUNGWANA KABISA SASA KULIKUWA NA HAJA GANI YAKUTOA NAMBA YAO YA SIMU KAMA HAWATAKI KUPOKEA SIMU ZETU, PUMBAV.U KABISA HAWA JAMAA WANASHINDWA KABISA KUWA WAUNGWANA ***** ZAO MUAMALA UNAKAA MPAKA WIKI MBILI UKIWAULIZA KILA SIKU WANAKWAMBIA SUBIRI BAADA YA MASAA 24, MASAA 24 YANAFIKA HAKUNA CHOCHOTE KINACHOFANYIKA NI WANGESE KABISA HAWA JAMAA
 
[11/13, 10:53 AM] β€ͺ+234 907 524 4625‬: πŸ™…πŸΎβ€β™‚STANKA TERMINATORπŸ™…πŸΎβ€β™‚
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–



Lenz, Julian - Escobedo, Ernesto
Mark : 2 1.29β‡β‡β‡πŸ…

Kfum Nassjo - Sodertelje Kings
Mark : 2 1.26β‡β‡β‡πŸ…

Galil Gilboa - Ironi Naharia
Mark : 1 1.29β‡β‡β‡πŸ…

Hammarby HB - Malmo
Mark : 2 1.31β‡β‡β‡πŸ…

Aalborg - Aarhus
Mark : 1 1.23β‡β‡β‡πŸ…

Gaz Metan Medias - Voluntari
Mark : 1X&UN[3.5] 1.43β‡β‡β‡πŸ…




*πŸ…Odds 4.83πŸ…*
Stake Coupon ₦
Bonus 1932.51 ₦
Pot. Winnings 21252.51₦

β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘β‡πŸ€‘πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½



πŸ™πŸΏGOD OVER EVERYTHINGπŸ™πŸΏ
[11/13, 10:58 AM] β€ͺ+234 907 524 4625‬: πŸ™…πŸΎβ€β™‚STANKA TERMINATORπŸ™…πŸΎβ€β™‚
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–




Sigma Olomouc U21 - Fastav Zlin U21
Mark : 1 2.05β‡β‡β‡πŸ…

Slovan Liberec U21 - Pribram U21
Mark : 1 1.46😨😑

Apollon Smyrnis - Aris Thessaloniki
Mark : 2 1.90β‡β‡β‡πŸ…

MC Oran - USM Alger
Mark : X2 DC 1.34β‡β‡β‡πŸ…

Gaz Metan Medias - Voluntari
Mark : 1X&UN[3.5] 1.46β‡β‡β‡πŸ…




*πŸ’ͺ🏾Odds 11.13πŸ…*
Stake Coupon ₦
Bonus 1112.55 ₦
Pot. Winnings 23372.55₦
*πŸ“šBN:965836πŸ”*


πŸ™πŸΏGOD OVER EVERYTHINGπŸ™πŸΏ
 
#LIFE_LESSON
Life...is all about time
Don't ever give up...
For over 100 years.....Manchester united had ride over their city Neighbor Manchester city.....imagine the trauma they went through!!
They were relegated 13 time is the process.....but they kept pushing and pushing and also believe that there would be a change 1day
And behold.....on August 4 2008..UAE prince and billionaire Mansour bin Zayed Al Nahyan
Brought the club..and their history change since..then
Won 16 title/trouphies since then.......unlike just 7 title/trouphies they won for over 123 years.....is that not a massive change???
And today...Manchester city are the king of MANCHESTER
Just believe like the Citizens do....and your story will change like them
 
Kwahiyo kuhusu hawa mlipa kukaa kimya na hela zetu tumefikia wapi?
Mimi Niko hapa nawapigia ila simu yao inaita tuu! Jana walinambia baada ya masaa 2 itakuwa tayari hela zangu zitaingia kwenye account yangu! Mpaka Sasa kimyaaa! Simu inaitaaa tuu , sometimes IPO bizee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…