Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Void na womicky aiseee wasaidieeni wenzenu hata mawazo ya kuwithdwaw ela mbona nyie sijawah sikiaa mlalamiko ya kuwithdrawa this means mnaeza kuwasaidiaa hata kwa mawazo wafanyaje ...sharing is caring lets stand togther as one[emoji120]
 
MKUU TATIZO NI KUWA HATA SIMU HAWAPOKEI,KINGINE CHANGAMOTO KAMA HIZI ZINAPOTOKEA INATUBIDI TUWE PAMOJA NA TUONGEE LUGHA MOJA ILI TATIZO LIISHE,HAKUNA ALIYE SALAMA KATIKA HILI NI SUALA LA MUDA TU!!.
Kweli kabisa jamaa hawa wa mlipa hata simu hawapokei ,bora wapokee waseme hawajapokea hela yeyote kutoka 1xbet kuliko kukaa kimya.
1xbet nao wanasema wao washacomfirm malipo ,yaani kuna kamchezo sio bure
 
Mcheza unawithdraw hata 100 na inaingia ndani ya sekunde

Mm nilianza kubet 1xbet niliwithdraw ndani ya dakika nne ikawa imeingia ila kilichonifukuzisha kule ni kila nikebet napigwa
 
Mcheza unawithdraw hata 100 na inaingia ndani ya sekunde

Mm nilianza kubet 1xbet niliwithdraw ndani ya dakika nne ikawa imeingia ila kilichonifukuzisha kule ni kila nikebet napigwa
Dk4??😱😱 mkekabet ni game ikiisha sekunde tu mkwanja kabang!
 
Void na womicky aiseee wasaidieeni wenzenu hata mawazo ya kuwithdwaw ela mbona nyie sijawah sikiaa mlalamiko ya kuwithdrawa this means mnaeza kuwasaidiaa hata kwa mawazo wafanyaje ...sharing is caring lets stand togther as one[emoji120]
Ukiona hivyo, hao watu ndio tatizo...either wanapata shida kuitumia 1xbet...or wanaliwa na kuchanganya mafail..msaada waendelee kuwasiliana na customer care ya 1xbet ndio sln pekee kwao,
humu jukwaani watazidi kuchanganyikiwa na green za hao kina void na Wimicky.....
 
SIJUI HIZI AKILI WATU HUWA MNAZITOA WAPI,BY WAY NGOJA NISIKUJIBU TUSIJE KUKWAZANA!!.
 
Duke[emoji23][emoji23][emoji23]achana huko usijibu, ww vipi hawakusumbuii
SAWA MKUU NIMEKUELEWA,TANGU JANA NIMETOA 150,000/= SIIONI UKIWAPIGIA HAWAPOKEI SIMU,WALINIAMBIA NISUBURI BAADA YA MASAA 24 LAKINI HAKUNA CHOCHOTE BOSS WANGU!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…