21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
EehNafasi ni yako ya kuwa milionea,jiunge sasa upate mkeka wa bure kila siku
Jiunge upige mpunga fasta UHURU BET GROUP
Hujuma zp ss hzoooWakuu,kuna mtu yupo huko nyumbani anasema kasi ya watu kuhamia 1xbet imewashitua sana hao wenye makampuni ya kubet ya hapo nyumbani,hivyo wakaamua kuteam up & kuwafanyia hujuma 1xbet kupitia M-lipa.
Nimepenyezewa tu na mtu huko.
M-Cheza wana Application mkuu?Nazan mcheza naona kuna option nyingi kama za xbet so jaribu iyo AF nasikia awanaga shida naswala na miamala
Unai google 1xbet kutumia engine ya chrome then una login kama kawaida afu unaendelea kama kahawa tuunatumiaje chrome kiongozi
Mwenyewe nlitaka uliza mkuu sijui kama IPO kuna jamaa anaitumia umu labda atuambieM-Cheza wana Application mkuu?
Tupen linkSASA NAHAMIA RASMI MCHEZA HAWANA TOFAUTI NA XBET INTERMS OF OPTIONS
InawezekanMie nashauri mtumie chrome ku WITHDRAW pesa kwa 1xbet badala ya kutumia app yao. Mfano leo saa 5 asubuhi nimetoa ndani ya dakika 5 ikawa imeshafika mpesa.
Tena pesa zinatoka fasta sana kuliko siku zote[emoji28] [emoji28] [emoji28]WALE WA XBET KAMA MNATOA PESA ZENU TOENI NOW JAMAA WASHAWEKA MAMBO SAWA MINIKO NATOA ELFU HAMSINI HAMSINI ZOTE ZINATOKA SOON NAMALIZA
Kivp mkuuTena pesa zinatoka fasta sana kuliko siku zote[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ila usisahau kuachia salio
Inawezekana.. Tatizo makampuni ya nyumbani ni hovyoWakuu,kuna mtu yupo huko nyumbani anasema kasi ya watu kuhamia 1xbet imewashitua sana hao wenye makampuni ya kubet ya hapo nyumbani,hivyo wakaamua kuteam up & kuwafanyia hujuma 1xbet kupitia M-lipa.
Nimepenyezewa tu na mtu huko.
Ila kudeposit ndio tatizoWALE WA XBET KAMA MNATOA PESA ZENU TOENI NOW JAMAA WASHAWEKA MAMBO SAWA MINIKO NATOA ELFU HAMSINI HAMSINI ZOTE ZINATOKA SOON NAMALIZA
Gsb wako vizuri ila cjaona Ice HockeyHamieni gsb mbona wako viziri
Kwa hiyo hao M Lipa nao wamekubaliana nao ili watuhujumu sasa tukihama wao commission watakua wanapata wapi?Wakuu,kuna mtu yupo huko nyumbani anasema kasi ya watu kuhamia 1xbet imewashitua sana hao wenye makampuni ya kubet ya hapo nyumbani,hivyo wakaamua kuteam up & kuwafanyia hujuma 1xbet kupitia M-lipa.
Nimepenyezewa tu na mtu huko.
Wanayo lakini nashangaa sasa hv website yao haifanyi kazi na huko ndo ipoMwenyewe nlitaka uliza mkuu sijui kama IPO kuna jamaa anaitumia umu labda atuambie
So unatumia nn au wap wwWanayo lakini nashangaa sasa hv website yao haifanyi kazi na huko ndo ipo
Nasubiri jibuKwa wale wazoefu wa pmbet zilee units wanazokupaaa mfano ukazitumiaaa kubetiaa na ukawin unawezaa kuzi withdraw au !?....