Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
nilideposit mara ya kwanza kujaribu mitambo ikafika.. Nadeposit mzigo wa maana haujafika daah.. Manina walahinimedeposit almost 1h now,,pesa haijaingia kwenye akaunti ,kuna baadhi inaingia na wengine inakataa mm,nimetumia voda na msg mpesa imerudi .