Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Me nikiingia 1xbet nakutana hiki kitu
[emoji116]
Deposit via Airtel, Tigo Vodacom are temporary unavailable!
 

Attachments

  • Screenshot_1xBet_20181114-164511.jpeg
    Screenshot_1xBet_20181114-164511.jpeg
    47.4 KB · Views: 29
Mcheza ni kampun ya wapi tupe link mkuu
Kuna mdau alitupia link ya mcheza.co.tz jana, nika download app yao.Hii ni ni kama copy ya 1xbet, maana feature zote zimefanana na hawa akina Putin.Nimeangalia upande wa option naona si haba, walau kwa kipindi hiki ngoja nitest mitambo.Ila hii kitu 1xbet mwisho wa mambo yote aiseee!!!!!
 
Back
Top Bottom