Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ICE HOCKEY mwenye uelewa na mchezo huu tafadhalini naomba darasa.
1. Unachezwa kwa muda gani
2. Kwa vipindi vingapi
3. Unapendekeza tubet kwa mtindo gani....mf. Kwa halves n.k
ASANTENI
 
Me najua tu unachezwa kwa vipindi (periods) vitatu kila period ina dk 20.
Me najua hivyo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
ICE HOCKEY mwenye uelewa na mchezo huu tafadhalini naomba darasa.
1. Unachezwa kwa muda gani
2. Kwa vipindi vingapi
3. Unapendekeza tubet kwa mtindo gani....mf. Kwa halves n.k
ASANTENI
 
Jamani 1xbet bado wana wimbi la kudepost,maana najaribu bila yamafanikio kabisa maana inatakiwa upatage meseji ya kukuruhusu kuweka balance sasa baada ya marekebisho yao siioni Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…