Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji23][emoji23]
20181114_211113.jpeg
 
Kuna mdau alitupia link ya mcheza.co.tz jana, nika download app yao.Hii ni ni kama copy ya 1xbet, maana feature zote zimefanana na hawa akina Putin.Nimeangalia upande wa option naona si haba, walau kwa kipindi hiki ngoja nitest mitambo.Ila hii kitu 1xbet mwisho wa mambo yote aiseee!!!!!
Iko poa ii mkuu ata kufanya miamala ni sekundi 30
 
Aisee hatimae nimejaribu kudiposit kwa kutumia airtel imekubali na salio linasoma kwenye akaunti ila ile ya voda mpaka sasa bado hawaweka sijui wakoje khaa
 
Mkuu tofauti ya over 0.5,1,na 1.5 ikoje??????
Over 0.5 hii ni zaidi ya 1 na si pungufu ya hap
Over 1..hii anakua kama ikiishia 1 bila kuzid unarudishiwa mtonyo wako uliobet ila ukizidi 1 basi ndo utashinda bet yako
Over 1.5 hapo ni kuanzia 2+ na sio chini ya 2
Sijui nimeelezea kwa usahihi
 
*HAWA M-LIPA NI WAPUUZI SANA KILA SIKU MATATIZO KWENYE DEPOSIT NA USIPO FATILIA HELA ILIYOKWAMA HUWA HAWARUDISHI JINGA SANA HAWA, WANIKOSESHA HELA KABISA LEO*
Imenibid nitumie airtel ndo ikakubali chap kidogo. Ila bado nahangaika nao kuifutilia hiyo ya mpesa simu yao haipokelewi au ipo bize dah
 
Back
Top Bottom